Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Ndiyo kuna jambo hulijui.Au kuna jambo ambalo silijui kuhusu Ponda
Tell me about itNdiyo kuna jambo hulijui.
Hakuna ukweli wowote.“Shekhe Ponda ni Taasisi” Nimekutana nayo Twitter
Usimfananiahe shekn ponda na ahekh mkuu ,hapo ni sawa na kufananisha corolla na VX ,ponda ni mtambo mkubwa sanaNani ana ushawishi kati ya Sheikh Ponda na Sheikh Mkuu Dar?
Naona sheikh mkuu anamnani JPM na Sheikh ponda lisuUsimfananiahe shekn ponda na ahekh mkuu ,hapo ni sawa na kufananisha corolla na VX ,ponda ni mtambo mkubwa sana
Anzisha uzi wako ufanye comparissonNani ana ushawishi kati ya Sheikh Ponda na Sheikh Mkuu Dar?
Kama umesoma mada za Waislamu humu, utamwelewa Shehe Ponda. He is against BAKWATA, na Waislamu walio wengi wanasema BAKWATA ni kisemeo ch serikali kwa Waislamu, haiwakilishi mawazo yao in entirety. Zipo mada kibao humu, zipitie umjue vizuriWakuu habari,
Huyu jamaa nimekuwa nikimsimkiliza akiongea kwenye mikutano au makongamano, naona ni mtu ambaye anajichanganya na watu wa dini zote, na anaongea reasonably.
Lakini huwa anagopwa na kuchukuliwa kama extremist fulani hivi, lakini ukimsikiliza hana u extrimist wowote, kuna baadhi ya viongozi wa Kiislam ambao kweli ukiwasikiliza utaona hawa ni hatari, lakini Ponda yupo cool kabisa.
Au kuna jambo ambalo silijui kuhusu Ponda
Nani ana ushawishi kati ya Sheikh Ponda na Sheikh Mkuu Dar?