Sheikh Ponda huwa ana tatizo gani? Kwanini anaogopwa sana?

Sheikh Ponda huwa ana tatizo gani? Kwanini anaogopwa sana?

Shehe ponda haogopwi analipi la kuogopesha nchi hii zaidi ya kutaka kuingiza udini katika mambo ya uchaguzi na mbeligiji wanawaza matumbo yao tu baada ya kupewa kitu kidogo ....... Anatangaza utadhani yeye ni shehe mkuu wakati kabwela tu subiri baada ya uchaguzi utaona anavyoshughulikiwa mwisho wa kunukuu

sent from HUAWEI
 
Wakuu habari,

Huyu jamaa nimekuwa nikimsimkiliza akiongea kwenye mikutano au makongamano, naona ni mtu ambaye anajichanganya na watu wa dini zote, na anaongea reasonably.

Lakini huwa anagopwa na kuchukuliwa kama extremist fulani hivi, lakini ukimsikiliza hana u extrimist wowote, kuna baadhi ya viongozi wa Kiislam ambao kweli ukiwasikiliza utaona hawa ni hatari, lakini Ponda yupo cool kabisa.

Halafu jamaa hata sio muongeaji sana, ila akiongea kidogo tu kunakuiwa na reaction kubwa either anakamatwa na polisi au anajibiwa na viongozi wengi wa Kiislam

Au kuna jambo ambalo silijui kuhusu Ponda

Mtu yeyote anayepigania haki, haki ambayo inaweza kupoteza maslahi ya watu wakubwa wachache basi mtu huyo hufanywa na wakubwa hao kuwa adui mbaya.

Shk Ponda kajipambanua kuwa ni mmoja wa Masheikh (kama wapo) anayepigania haki za watu hususan Waisilamu, hao Wakubwa (Masheikh vibaraka wa BAKWATA) wanaojali matumbo yao na sio shida za Watu hususan Waisilam, wanamchukulia Shk Ponda kama adui yao, shida ndio ipo hapo.
 
meseji ya sheikh Ponda kama imewafikia " progressive muslims" wengi basi CCM iongeze sana jitihada za kuiba kura!!
 
Ponda Issa Ponda Mmanyema machachari balaaa,
Muumini katika Haki na Usawa, asiyeogopa chochote inapokuja swala la kutetea dini yake.

Anaogopwa sana kwakua yeye mmoja ni sawa na Maaskofu 10 wenye PhD ya Theolojia.
Maaskofu aina ya Gwajima.
 
Nani ana ushawishi kati ya Sheikh Ponda na Sheikh Mkuu Dar?
Kuna watu wakiristu,waislamu wapagani hawamjui shekh mkuu ila wanamjua shehe ponda.Shekh ponds alistahili kuwa ndie shekh mkuu but in Africa,ndio huwa sio,bluu huwa nyekundu. In Politics is the same as in religio ni figisu figisu tu ili mradi watu wapate SHIBE.
 
Wakuu habari,

Huyu jamaa nimekuwa nikimsimkiliza akiongea kwenye mikutano au makongamano, naona ni mtu ambaye anajichanganya na watu wa dini zote, na anaongea reasonably.

Lakini huwa anagopwa na kuchukuliwa kama extremist fulani hivi, lakini ukimsikiliza hana u extrimist wowote, kuna baadhi ya viongozi wa Kiislam ambao kweli ukiwasikiliza utaona hawa ni hatari, lakini Ponda yupo cool kabisa.

Halafu jamaa hata sio muongeaji sana, ila akiongea kidogo tu kunakuiwa na reaction kubwa either anakamatwa na polisi au anajibiwa na viongozi wengi wa Kiislam

Au kuna jambo ambalo silijui kuhusu Ponda
Ponda ni extremist na ni mtu mbaya sana kwani ana ushawishi wa kutafuta mazezeta na kuwadanganya kuwa wanaonewa na serikali ya CCM ama Kikristu na mazezeta wake wakamsikiliza na kuifanya Tanzania kuwa the next Somalia watu wanavaa mabomu mwilini wakipanda madaladala.
 
Acha ngiba msimu huu ICC inawahusu
 
Back
Top Bottom