Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Sheikh Ponda ni malaika wa haki
Kumbu kumbu nzuri za sheikh Ponda anazo Omari Mahita, na utawala wa hayati Benjamin Mkapa.Wakuu habari,
Huyu jamaa nimekuwa nikimsimkiliza akiongea kwenye mikutano au makongamano, naona ni mtu ambaye anajichanganya na watu wa dini zote, na anaongea reasonably.
Lakini huwa anagopwa na kuchukuliwa kama extremist fulani hivi, lakini ukimsikiliza hana u extrimist wowote, kuna baadhi ya viongozi wa Kiislam ambao kweli ukiwasikiliza utaona hawa ni hatari, lakini Ponda yupo cool kabisa.
Au kuna jambo ambalo silijui kuhusu Ponda
jamaa lakini mbona sio muongeaji sana, ila akiongea kidogo tu kunakuiwa na reaction kubwa either anakamatwa au anajibiwa na viongozi wengio wa KiislamPonda ana shida kubwa mbili:
1. Kukataa kula madhabahuni kwa shetani🐍🐍🐍🐍🐍 ( CCM )
2. Kuwaamsha waliolala hususani waislamu. Yaani ni sawa na Jizi linaiba mali ya mtu, ukimshtua mwenye mali unakosana na Jizi. Angekaa kimya angekula mema ya majizi
kwani kwenye hizo vurugu yeye alifanya kitu gani exactly hadi wakataka wamkamate na akawa anaogopwa hadi leoKumbu kumbu nzuri za sheikh Ponda anazo Omari Mahita, na utawala wa hayati Benjamin Mkapa.
Pale kwenye vurugu za mwembechai ni kielelezo tosha cha Ponds nakumbuka alikuwa akitafutwa na polisi na aliwaambia nitaenda kusali siku ya Eid na hamtanikamata na kweli alilifanya hilo kwa kuvaa nikab na hawakumtambua.
Huyu sheikh ni mwamba sana na serikali inajua nguvu yake wewe raia tu hauwezi kujua na inawezekana haya tunayoyasema wewe ulikiwa bado mtoto au bado ulikiwa haujazaliwa.
1 man army Bakwata tuna waona..mlishindwa kuita vyombo vya habari adi mkaenda kwenye mkutano wa fisiemuMwana siasa aliyevaa joho la u-shekh kama cover up. Atafute jimbo agombee kama Gwaji.
Kudu anasemaje mkuu.?Yule jamaa ni Taasisi
Mtu ambaye sio mnafiki, huchukiwa na wengiWakuu habari,
Huyu jamaa nimekuwa nikimsimkiliza akiongea kwenye mikutano au makongamano, naona ni mtu ambaye anajichanganya na watu wa dini zote, na anaongea reasonably.
Lakini huwa anagopwa na kuchukuliwa kama extremist fulani hivi, lakini ukimsikiliza hana u extrimist wowote, kuna baadhi ya viongozi wa Kiislam ambao kweli ukiwasikiliza utaona hawa ni hatari, lakini Ponda yupo cool kabisa.
Halafu jamaa hata sio muongeaji sana, ila akiongea kidogo tu kunakuiwa na reaction kubwa either anakamatwa na polisi au anajibiwa na viongozi wengi wa Kiislam
Au kuna jambo ambalo silijui kuhusu Ponda
Mhhhh unalinganisha paja na Kiwiko!Nani ana ushawishi kati ya Sheikh Ponda na Sheikh Mkuu Dar?
Mji gani sheikh?Huyu ni mzee wa kusepa na kijiji. Nakumbuka hiyo siku natoka zangu home naenda Posta, kufika taa za Tanganyika pale nakuta raia kibao wamevalia Kanzu kwa wanaume na Baibui kwa wanawake nje hapo kwa Hakimu Mkazi. Neno walilokuwa wakilitamka ni Takbiir, Takbiir, nikauliza kuna nini hapo!? Watu ndio kukumbuka leo Sheikh Ponda ndio linasikilizwa shauri lake.
Anaevunja amani ya nchi hii wewe humjui?Kama ana siasa kali za kuleta chuki na anaweza vunja amani basi lazima aogopwe, na twajuwa dola itakushughulikia kivipi...
Dar es salaam bossMji gani sheikh?
Waislamu wangekua na demokrasia sheikh Ponda angekua muftiCkuzote ukiwa msema kweli hua anaishimaisha magumu sana