Sheikh Ponda huwa ana tatizo gani? Kwanini anaogopwa sana?

Ponda Issa Ponda Mmanyema machachari balaaa,
Muumini katika Haki na Usawa, asiyeogopa chochote inapokuja swala la kutetea dini yake.

Anaogopwa sana kwakua yeye mmoja ni sawa na Maaskofu 10 wenye PhD ya Theolojia.
True
 
...shkh ponda ni mwanaharakati tuu kama Lisu na Kabwe,usidanganywe na hilo neno shkh...

Kuhusu Dini ya Uislamu upo mbali na hayo anayoyafanya Kwenye siasa.
 
Ametengenezwa na watu maalumu kwa kazi maalumu.

Ili umjue inahitajika uwe mtu maalumu.
 
Anachukiwa kwasababu ya kuwaibia mademu zao
 
Kama umesoma mada za Waislamu humu, utamwelewa Shehe Ponda. He is against BAKWATA, na Waislamu walio wengi wanasema BAKWATA ni kisemeo ch serikali kwa Waislamu, haiwakilishi mawazo yao in entirety. Zipo mada kibao humu, zipitie umjue vizuri
Sasa nkuna shida gani hapo? kwani ni kitu hatari sana kuisma vibaya Bakwata? Serikali inasemwa vibaya sembuse Bakwata?
 
Nani ana ushawishi kati ya Sheikh Ponda na Sheikh Mkuu Dar?
Shehe mkuu wa daa akiitisha mkutano hapo daa na akipata watu hamsini waliokuja kwa hiyari yao wenyewe basi atakuwa amepiga hatua pakubwa mno, ukitaka kujua ushawishi wa ponda rejea sakata la sensa, alitumia dakika tano tu kukusanya umati uliosababisha waislam tz nzima waliokamatwa kwa kugoma kuhesabiwa wakaachiwa
 
Braza maneno mengi point 0, swali uliloulizwa na ulichojibu tofauti....
 
Ponda ana shida kubwa mbili:

1. Kukataa kula madhabahuni kwa shetani๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ ( CCM )

2. Kuwaamsha waliolala hususani waislamu. Yaani ni sawa na Jizi linaiba mali ya mtu, ukimshtua mwenye mali unakosana na Jizi. Angekaa kimya angekula mema ya majizi
 
Ponda Issa Ponda Mmanyema machachari balaaa,
Muumini katika Haki na Usawa, asiyeogopa chochote inapokuja swala la kutetea dini yake.

Anaogopwa sana kwakua yeye mmoja ni sawa na Maaskofu 10 wenye PhD ya Theolojia.
Wewe sema huyo ponda ni sawa na mashehe 10 wa bakwata usimlinganishe na maaskofu.
 
Huyu ni mzee wa kusepa na kijiji. Nakumbuka hiyo siku natoka zangu home naenda Posta, kufika taa za Tanganyika pale nakuta raia kibao wamevalia Kanzu kwa wanaume na Baibui kwa wanawake nje hapo kwa Hakimu Mkazi. Neno walilokuwa wakilitamka ni Takbiir, Takbiir, nikauliza kuna nini hapo!? Watu ndio kukumbuka leo Sheikh Ponda ndio linasikilizwa shauri lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ