Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #101
Mbussi,Sasa imekuwa serikali na siyo tena "necta parokia" ?
Upendavyo kuliona tatizo hili.
Muhimu ni kuwa maandamano yalifanyika ingawa yalizuiwa lakini Waislam walielezwa kuwa ushahidi wa dhulma upo lazima maandamano yafanyike liwalo na liwe kama nilivyoeleza.
Serikali ilipitia malalamiko ya Waislam na yaliyobakia sasa ni historia.