Sheikh Ponda Issa Ponda Alama ya Uadilifu

Sheikh Ponda Issa Ponda Alama ya Uadilifu

Execute,
Sina taarifa hizo lakini ikiwa ni kweli hili ni jambo la kusikitisha.
Kuwa Mkapa katupa chuo ni historia ndefu naamini wewe huijui.

Kwa ufupi.
Waislam walikuwa wanajenga Chuko Kikuu chini ya East African Muslim Welfare Society (EAMWS) mwaka wa 1968.

Serikali ikapiga marufuku EAMWS ikaunda BAKWATA.
Chuo hakikujengwa.

Laiti kama Waislam wangefanikiwa kujenga chuo hicho leo tungekuwa na vyuo vingi.

Hii ni historia ya majonzi katika historia ya Waislam wa Tanzania.
Nimeieleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes (1998).
Nyerere kastaafu 1985,mmeshajenga madrasa ngapi na university ngapi
 
Hiv kumbe hata wajinga hupata neema ya uzee, wanakua wazee wajinga tofaut na ile wengi tulijua ukimuona mzee bas unadhan hekma ipo... it seems una uzee wa majuto makuu sana mzee wetu..u seem very bitter in deed, like u r full of regret..you are soo troubled kuona huna ulicho accomplish chenye impact kwenye society.. pole sana ndio maisha
 
Mohammed Said,
Kama kweli uislam unafunza yaliyo mema na kukemea maovu, ni kwann basi, Vikundi vya kigaidi karibu vyote vinaundwa na Waislam, chuki, ubaguzi kwa watu wasio wa imani ya kiislam, kuvaa mabomu na kujilipua ktkt ya makundi ya watu, uchokozi, uchochezi, wivu nk. nk ni baadhi ya tabia na matendo yanayo onekana waz yakifanywa na Waislam.

Tangu ubandike bango la "necta parokia" kwenye maandamano ya Issa Ponda, nimeishiwa hamu ya kusoma maandiko yake maana yatakuwa na mlengo huohuo wa kibaguzi.
Mbussi,
Kuhusu ugaidi kuhusishwa na Waislam nina paper niliwasilisha University of Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006:

Ingia hapo utaongeza maarifa yako.

Kuhusu bango yale yaliyoandikwa ni kweli tupu na baada ya maandamano yale serikali ilipitia upya matokeo ya Necta na waliangalia wajumbe wake wanakotokea.

Waliokuwa wanabaguliwa wakafahamika.
Hulazimishwi kusoma makala zangu.

Ukiziona zipite wima.
 
Nyerere kastaafu 1985,mmeshajenga madrasa ngapi na university ngapi
Mdukuzi,
Tumejenga madrasa nyingi kwa kuwa gharama zake si kubwa.mejenga
Tumejenga shule nyingi ziko mikoa yote.

OIC walitaka kujenga Chuo Kikuu Tanzania katika miaka ya 1970 serikali ikakataa kutoa kibali.

Ingekubali na kama chuo cha EAMWS kingekubaliwa kujengwa tungekuwa na vyuo viwili.

Hatujaweza kujenga chuo kwa kuwa Waislam hatuna mkataba na serikali mfano wa ule wa Memorundum of Understanding kati ya Serikali na Makanisa ambapo serikali inatoa mabilioni kila mwaka kwa ajili ya miradi ya TEC na CCT.

Haya ndiyo mazito yanayotukabili Waislam wa Tanzania.
Ndugu yangu Mdukuzi masikini hasimangwi kwa ufukura wake.
 
Huna lolote ni mpuuzi tu.
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.

1700246322728.png
BBC Glasgow, Scotland 1991
1700246461802.png

VoA Washington DC 2011
1700246581334.png

Mmoja wa Waandishi wa Kamusi hili lenye Volume Sita​

Mohamed Said, sina tatizo na sifa ulizompa sheikh Ponda, Ila Nina matatizo na sifa mbaya ulizozitoa kwa BAKWATA. Inaonyesha wazi kwako wewe kudai kile unachokiita haki njia sahihi ni kufanya fujo yakiwemo maandamano ndiyo utaonekana Muislam safi unaetetea Uislamu. Sitaki kuingia ndani, sababu siijuhi hiyo NECTA ya Wakatoliki iliyokuwa ikidhurumu haki za Waislam.

Bado unaungana na fujo za sheikh Ponda za kufanya vurugu na maandano kuwazuia Israeli kustisha mashambulizi uko Gaza. Itawezekana kweli? Maandamano ni cha mtoto, wababe wenzenu Hamas hawakuishia tu maandano, walienda kuuwa kabisa na kuteka lakini moto waliouwasha kwa Wayaudi wameshidwa kuuzima. Labda sheikh Ponda afanye maandano kutafuta huruma, lakini wale jamaa si NECTA isee.
Moto unawaka miaka zaidi ya miaka 75, wewe umeona wamuwasha Hamas?

Unajuwa miaka mingapi wapalestina wapo kwenye kambi ya mateso ya Ghaza?
 
Mbussi,
Kuhusu ugaidi kuhusishwa na Waislam nina paper niliwasilisha University of Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006:

Ingia hapo utaongeza maarifa yako.

Kuhusu bango yale yaliyoandikwa ni kweli tupu na baada ya maandamano yale serikali ilipitia upya matokeo ya Necta na waliangalia wajumbe wake wanakotokea.

Waliokuwa wanabaguliwa wakafahamika.
Hulazimishwi kusoma makala zangu.

Ukiziona zipite wima.
Mohammed

Sina sababu ya kuendelea na hilo la ugaidi kwasababu linajulikana hata bila kusoma makala zako.

Hili la Elimu kwamba necta parokia ilikuwa ikionea wanafunzi wa kiislamu ni chuki tu zilizojengeka. Kwa bahati mbaya inadhihirishwa wazi na uwekezaji wenu ktk Elimu. Kama mmeamua kuwekeza ktk kujenga madrasa na misikiti ktkt ya makazi ya watu na kuweka msukumo kidogo katika miundombi ya uduma za kijamii yakiwemo mashule ni hiari yenu.

Nakumbuka mlikuwa mkilazimisha necta kuingiza somo la dini ktk Yale masomo 7 yanayotumika kukokotoa matokeo ya F4. Ndugu yangu anzisheni seminari zenu, serikali haina dini mtatupeleka kubaya. Tz siyo Afghanistan.
 
Moto unawaka miaka zaidi ya miaka 75, wewe umeona wamuwasha Hamas?

Unajuwa miaka mingapi wapalestina wapo kwenye kambi ya mateso ya Ghaza?
Waparestina wapo kwenye mateso muda mrefu, ni kweli. Je, suruhu ni Hamas kuvamia, kuuwa na kuteka? Au suruhu ni kina Issa Ponda kuitisha maandano ya kiislamu? Kuna mauaji yanaendelea sehemu nyingi ikiwemo hapa kwetu Africa na Ukraine. Kama ni huruma kwa binadamu na siyo udini kwanini hamjawai kuitisha hayo maandamano?
 
Mohammed

Sina sababu ya kuendelea na hilo la ugaidi kwasababu linajulikana hata bila kusoma makala zako.

Hili la Elimu kwamba necta parokia ilikuwa ikionea wanafunzi wa kiislamu ni chuki tu zilizojengeka. Kwa bahati mbaya inadhihirishwa wazi na uwekezaji wenu ktk Elimu. Kama mmeamua kuwekeza ktk kujenga madrasa na misikiti ktkt ya makazi ya watu na kuweka msukumo kidogo katika miundombi ya uduma za kijamii yakiwemo mashule ni hiari yenu.

Nakumbuka mlikuwa mkilazimisha necta kuingiza somo la dini ktk Yale masomo 7 yanayotumika kukokotoa matokeo ya F4. Ndugu yangu anzisheni seminari zenu, serikali haina dini mtatupeleka kubaya. Tz siyo Afghanistan.
Mbussi,
Wanaotakiwa kujadili yote haya ni serikali ndiyo inayoshutumiwa na Waislam.
 
Heshima yako mzee wangu! Kijana wetu kafariki dunia kutokana na vita iliyoanzishwa na HAMAS!
 
Mohamed Said hongera zako nyingi. Umenyooka sana mzee. Tukiwa na wazee 3000 kama wewe Tanzania hii ingekuwa faida kubwa sana.
Najua wazee wa kariba yako hawawezi kufurahia majizi ya Chama Cha Majambazi.
 
Waparestina wapo kwenye mateso muda mrefu, ni kweli. Je, suruhu ni Hamas kuvamia, kuuwa na kuteka? Au suruhu ni kina Issa Ponda kuitisha maandano ya kiislamu? Kuna mauaji yanaendelea sehemu nyingi ikiwemo hapa kwetu Africa na Ukraine. Kama ni huruma kwa binadamu na siyo udini kwanini hamjawai kuitisha hayo maandamano?
MBussi, andaa maandamano kuhusu watu wa ngorongoro
 
Hiv kumbe hata wajinga hupata neema ya uzee, wanakua wazee wajinga tofaut na ile wengi tulijua ukimuona mzee bas unadhan hekma ipo... it seems una uzee wa majuto makuu sana mzee wetu..u seem very bitter in deed, like u r full of regret..you are soo troubled kuona huna ulicho accomplish chenye impact kwenye society.. pole sana ndio maisha
Ivan...
Hapana sina majuto katika maisha yangu.
Alhamdulilah.

Namshukuru Mungu.
Nimefanikiwa katika mengi khasa katika uandishi.

NImeandika vitabu na wachapaji wakubwa ulimwenguni.
Nimesafari kwingi duniani katika ujana wangu hadi utu uzima.

Kitabu changu cha hivi karibuni kama miezi mitatu iliyopita ni hicho hapo chini na ni kitabu changu cha kwanza kuchapwa na Amazon:

1700253639468.png

Back
Top Bottom