Sheikh Ponda Issa Ponda Alama ya Uadilifu

Mbussi,
Maana yake watendaji Wakatoliki wamehodhi NECTA.
Kwa hiyo mitihani ilikuwa inasahihishwa kidini? Au mlifanya sensa mkakuta idadi ya Wakatoliki necta ni kubwa kulinganisha na madhehebu mengine? Ni ubaguzi, chokochoko na chuki za kidin dhidi ya hao Katoliki. Alafu kutwa kucha mnaangaika kuwachokoza wenzenu wao wako kimya wala hawaangaiki na nyinyi. Jifunzeni kukaa kwa amani bila kuchokoza na msitangulize udini kwa kila jambo.
 
Vizee vya hovyo kama hv vinafanya mambo ya ajabu ajabu afu vinaanza kuona vijana siku hz hawajaielewi🤔🤔🤔hv sheikh ponda anataka waandamane kutoka mnazi moja hadi Magomeni kwamba mda wote shughul za usafirishaji zisitishwe ili wao wafanye mambo yasiyo na tija kwa taifa? Watu wakae kwenye foleni mda wote
 
Hapa ndipo penye mtihani wa BAKWATA.
BAKWATA wanataka kuwa kiongozi wa Waislam.

Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka imani ya hali ya juu na kujitolea kwa lolote.
.
Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka kumtegemea Allah na kutomuogopa yeyote ila Allah Pekee.

Ponda kasimama dhidi ya dhulma za Baraza la Mitihani (NECTA) dhidi ya wanafunzi Waislam na kutangaza maandamano kama haya ya kuwaunga mkono Wapalestina.

Polisi wakatoa onyo kali kwa watakaotoka kuandamana.

Sheikh Ponda katika sala ya Ijumaa Msikiti wa KIchangani akawaambia Waislam, 'Kama hatukuandamana kwa dhulma hii ya NECTA tufanywe lipi ili tuandamane?''

Sheikh Ponda aliwauliza Waislam akiwa kasimama mbele kwenye kibla cha msikiti wa Kichangani.

Hotuba yake kwa Waislam jinsi vijana wa Kiislam wanavyodhulumiwa na NECTA ulijaza msikiti nzima simanzi.

Akawaambia Waislam.
''Tumekusanya ushahidi wote tunao.''

Ndani ya msikiti wamejaa makachero.
Nje ya msikiti kuna Defender na askari wamevalia mavazi ya mapambano.

Juu inapita helicopter.
Matangazo yametolewa Waislam wasithubutu kuandamana.

"Kama hatukuandamana kwa hili tutaandamana kwa lipi?
Mimi nitatangulia mbele kuongoza maandamano haya."

Hapo akaipa mgongo hadhira yake akaelekea kibla akanyanyua mikono yake kumkabili Allah kuomba nusra ya umma ule uliokuwa tayari kulikabili Jeshi la Polisi lenye silaha.

Allah aliwanusuru waandamanaji wote.

Maandamano yanafika Jangwani habari zinatangazwa Waislam wanaombwa waandamane kwa amani waelekee Kidongo Chekundu wasiingie mjini hapo viongozi watapokelewa na Polisi na kupelekwa Makao Makuu ya Wizara ya Ndani na ndipo Waraka wa Shura utapokelewa.

Wataalamu haraka waliishauri waliishauri serikali vizuri polisi wasipambane kwa kuwa yote aliyosema Sheikh Ponda msikiti ni kweli tupu.

Polisi haiwezi kuwashambulia Waislam kwani itakuwa fedheha kubwa ukweli utakapojulikana.

Vijana wote wanafunzi wa Kiislam waliodhulumiwa na NECTA walipata haki zao.

Sheikh Ponda alikuwa mstari wa mbele akiongoza maandamano yale.
Serikali ikijua yote yaliyofanyika NECTA dhidi ya wanafunzi wa Kiislam.

Hii ilikuwa mwaka wa 2012.

Leo Sheikh Ponda kasimama tena dhidi ya dhulma ya Ghaza na mauaji ya Wapalestina.

Kakamatwa.
Umma unasubiri.

Turejee nyuma miaka 10 iliyopita BAKWATA wanaotaka uongozi walisimama wapi sakata la NECTA?

Leo BAKWATA wamesimama upande gani katika mauaji ya Wapalestina Ghaza?

View attachment 2810973
View attachment 2810976
View attachment 2810982
View attachment 2810978
Sheikh Ponda akizungumza na Vyombo Vya Habari
(Picha ya zamani)
Mzee wangu upo??
Vipi hali ya gaza unaionaje mwanazuoni ??
 
Qur'an 9:30
Qur'an 8:12.
HII NDIO MITAZAMO YA WAISLAMU WOOOTE DUNIANI NA NDIO MTAZAMO WA MZEE SAID NA SHEIKH PONDA
 
Huyu ndiye alipaswa kuwa Mufti,Basi tu!
Mm mkatoliki ila nawaombea siku mumfanye Mufti sio wale bakwata au kuna mmoja anaitwa marehemu gorogosi .mtu kaandika Necta parokia kwa bango ni kitu kibaya sana anamaana anahusisha wakatoliki? Kwamba wakatoliki wanaweza onea waislamu wakati rais ni muislamu?

Ndugu zangu waislamu adui wa kupambana nae ni ujinga .umaskini na magonjwa baina yenu sio wakristo. Hakuna mkristo anachukia waislamu kusoma ila hatutaki wasome seminari zetu maana tunafundisha maadili ya kikristo na zimejengwa kwa sadaka za wakristo kwa kutolewa kwa viapo vya kikristo.
Tanzania matajiri wengi wakubwa ni waislamu hebu hamasishaneni kujenga mashule walau kila wilaya kwa kuanzia tena nyuma yenu kuna waarabu wanaroho nzuri wako tayari kuleta mabilion kuwasaidia .mfano mabilionaire kama asas.huwel .pil Mohamed na suphil hawa ni matajiri wamezaliwa na kukulia iringa mjini ila mpaka leo hakuna sekondary ya kiislamu ya maana mkoa mzima wako busy kuchangia mpira na kuwapa hela kina baba levo.unajua mengi amejenga shule ngap na kulipa kanisa bure?ushaona shule alizotoa bure kwa kanisa lugemalila ?
 
Ndugu zetu hawa bila kubadili mitizamo wataendelea kugombana na NECTA. Kwa karne hii kama wanafuraia mfalme toka Morocco kuja kuwajengea Mskiti Dodoma, na Magufulii kuwajengea Miskiti ya Magomeni na Dodoma badala ya kuomba wajengewe vyuo vikuu, kati au shule ni tatizo. Bora wamshukuru Mkapa kwa chuo kikuu Cha kiislam Morogoro.
 
Hoja yapo hujaiwasilisha vyema, nasema hujaiwasilisha vyema kwasababu miaka ya hivi karibuni nimeshaona mara kadha hoja hii inaibuliwa , but all in all ni hoja safi

LAkini mimi kwa upande wangu hua nasema ni utanzania tu ama uafrika

Naquote hoja ya mdau hapo juu
Vizee vya hovyo kama hv vinafanya mambo ya ajabu ajabu afu vinaanza kuona vijana siku hz hawajaielewi🤔🤔🤔hv sheikh ponda anataka waandamane kutoka mnazi moja hadi Magomeni kwamba mda wote shughul za usafirishaji zisitishwe ili wao wafanye mambo yasiyo na tija kwa taifa? Watu wakae kwenye foleni mda wote

Watanzania hawa hawa wakiskia yanga /simba wanaandaa parade wengi hushabikia sana

Haya maandamano yalikua sehemu moja safi sana ya kuidhalilisha serikali kutoa dhana kwamba maandamano ni vurugu na wao wamelifahamu hilo na kuyazuia maana bila shaka yangekamilika bila ghasia yoyote ile,
Na ingeleta muamko wa maandamano mengine dhidi ya uongozi mbovu rushwa ufisadi na kadhalika sasa wangeshindwa kutumia hoja ya vurugu na ghasia kupinga maandamano

Fursa nzuri imepotea
 
Hoja yapo hujaiwasilisha vyema, nasema hujaiwasilisha vyema kwasababu miaka ya hivi karibuni nimeshaona mara kadha hoja hii inaibuliwa , but all in all ni hoja safi

LAkini mimi kwa upande wangu hua nasema ni utanzania tu ama uafrika

Naquote hoja ya mdau hapo juu

Watanzania hawa hawa wakiskia yanga /simba wanaandaa parade wengi hushabikia sana

Haya maandamano yalikua sehemu moja safi sana ya kuidhalilisha serikali kutoa dhana kwamba maandamano ni vurugu na wao wamelifahamu hilo na kuyazuia maana bila shaka yangekamilika bila ghasia yoyote ile,
Na ingeleta muamko wa maandamano mengine dhidi ya uongozi mbovu rushwa ufisadi na kadhalika sasa wangeshindwa kutumia hoja ya vurugu na ghasia kupinga maandamano

Fursa nzuri imepotea
Unachanganya mada mbili tofauti. Mada ya elimu na ile ya maandano ya Issa Ponda kwa Wapalestina. Issue ya maandano kama yangeratibiwa kitaifa bila kigezo cha Uislamu hisingekuwa tatizo, Au lakini kuratibiwa kidini tena na mtu binafsi badala ya taasisi ya kiislam inayotambulika, hiyo ni fujo.
 
Hapa ndipo penye mtihani wa BAKWATA.
BAKWATA wanataka kuwa kiongozi wa Waislam.

Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka imani ya hali ya juu na kujitolea kwa lolote.
.
Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka kumtegemea Allah na kutomuogopa yeyote ila Allah Pekee.

Ponda kasimama dhidi ya dhulma za Baraza la Mitihani (NECTA) dhidi ya wanafunzi Waislam na kutangaza maandamano kama haya ya kuwaunga mkono Wapalestina.

Polisi wakatoa onyo kali kwa watakaotoka kuandamana.

Sheikh Ponda katika sala ya Ijumaa Msikiti wa KIchangani akawaambia Waislam, 'Kama hatukuandamana kwa dhulma hii ya NECTA tufanywe lipi ili tuandamane?''

Sheikh Ponda aliwauliza Waislam akiwa kasimama mbele kwenye kibla cha msikiti wa Kichangani.

Hotuba yake kwa Waislam jinsi vijana wa Kiislam wanavyodhulumiwa na NECTA ulijaza msikiti nzima simanzi.

Akawaambia Waislam.
''Tumekusanya ushahidi wote tunao.''

Ndani ya msikiti wamejaa makachero.
Nje ya msikiti kuna Defender na askari wamevalia mavazi ya mapambano.

Juu inapita helicopter.
Matangazo yametolewa Waislam wasithubutu kuandamana.

"Kama hatukuandamana kwa hili tutaandamana kwa lipi?
Mimi nitatangulia mbele kuongoza maandamano haya."

Hapo akaipa mgongo hadhira yake akaelekea kibla akanyanyua mikono yake kumkabili Allah kuomba nusra ya umma ule uliokuwa tayari kulikabili Jeshi la Polisi lenye silaha.

Allah aliwanusuru waandamanaji wote.

Maandamano yanafika Jangwani habari zinatangazwa Waislam wanaombwa waandamane kwa amani waelekee Kidongo Chekundu wasiingie mjini hapo viongozi watapokelewa na Polisi na kupelekwa Makao Makuu ya Wizara ya Ndani na ndipo Waraka wa Shura utapokelewa.

Wataalamu haraka waliishauri waliishauri serikali vizuri polisi wasipambane kwa kuwa yote aliyosema Sheikh Ponda msikiti ni kweli tupu.

Polisi haiwezi kuwashambulia Waislam kwani itakuwa fedheha kubwa ukweli utakapojulikana.

Vijana wote wanafunzi wa Kiislam waliodhulumiwa na NECTA walipata haki zao.

Sheikh Ponda alikuwa mstari wa mbele akiongoza maandamano yale.
Serikali ikijua yote yaliyofanyika NECTA dhidi ya wanafunzi wa Kiislam.

Hii ilikuwa mwaka wa 2012.

Leo Sheikh Ponda kasimama tena dhidi ya dhulma ya Ghaza na mauaji ya Wapalestina.

Kakamatwa.
Umma unasubiri.

Turejee nyuma miaka 10 iliyopita BAKWATA wanaotaka uongozi walisimama wapi sakata la NECTA?

Leo BAKWATA wamesimama upande gani katika mauaji ya Wapalestina Ghaza?

View attachment 2810973
View attachment 2810976
View attachment 2810982
View attachment 2810978
Sheikh Ponda akizungumza na Vyombo Vya Habari
(Picha ya zamani)

Kumbe maandamano yanahusu NECTA? Mna mambo mengi halafu madogo madogo kweli nyie mnaojiita waadilifu 😂 😂 😂 😂 😂
Mnatia huruma sana😂😂😂😂😂😂
 
Unachanganya mada mbili tofauti. Mada ya elimu na ile ya maandano ya Issa Ponda kwa Wapalestina. Issue ya maandano kama yangeratibiwa kitaifa bila kigezo cha Uislamu hisingekuwa tatizo, Au lakini kuratibiwa kidini tena na mtu binafsi badala ya taasisi ya kiislam inayotambulika, hiyo ni fujo.
Sjachanganya mkuu sijafafanua tu vizuri maana hapo nimeongea vitu viwili kwa kwa link mada,

Maana kama wewe unasema maandamano ya palestina yaratibiwe kitaifa hii haiwezekani maana hata nchi za walioandama huko ni raia ndo wameandaa na sio serikali zao,

Wewe kulazimisha taasisi nzima ya dini kuorganise maandamano ndo unaleta udini

Issue ya maandano kama yangeratibiwa kitaifa bila kigezo cha Uislamu hisingekuwa tatizo,
Kwamba let say dereva bodaboda na bajaji wangeorganise maandamano nayo ingekua shida?

🤣🤣 mkuu angalia usije kua unaingia kwenye udini

Issue ya maandano kama yangeratibiwa kitaifa bila kigezo cha Uislamu hisingekuwa tatizo, Au lakini kuratibiwa kidini tena na mtu binafsi badala ya taasisi ya kiislam inayotambulika, hiyo ni fujo.
Mimi naona wewe unapinga maandamano kama serikali ya taifa hili huko unakokimbilia taasisi ya dini sjui nini ni siasa hizo sasa

Jana nilikuuliza maandamano yana shida? Kama yanashida shida yake nini emu eleza
 
Mm mkatoliki ila nawaombea siku mumfanye Mufti sio wale bakwata au kuna mmoja anaitwa marehemu gorogosi .mtu kaandika Necta parokia kwa bango ni kitu kibaya sana anamaana anahusisha wakatoliki? Kwamba wakatoliki wanaweza onea waislamu wakati rais ni muislamu?

Ndugu zangu waislamu adui wa kupambana nae ni ujinga .umaskini na magonjwa baina yenu sio wakristo. Hakuna mkristo anachukia waislamu kusoma ila hatutaki wasome seminari zetu maana tunafundisha maadili ya kikristo na zimejengwa kwa sadaka za wakristo kwa kutolewa kwa viapo vya kikristo.
Tanzania matajiri wengi wakubwa ni waislamu hebu hamasishaneni kujenga mashule walau kila wilaya kwa kuanzia tena nyuma yenu kuna waarabu wanaroho nzuri wako tayari kuleta mabilion kuwasaidia .mfano mabilionaire kama asas.huwel .pil Mohamed na suphil hawa ni matajiri wamezaliwa na kukulia iringa mjini ila mpaka leo hakuna sekondary ya kiislamu ya maana mkoa mzima wako busy kuchangia mpira na kuwapa hela kina baba levo.unajua mengi amejenga shule ngap na kulipa kanisa bure?ushaona shule alizotoa bure kwa kanisa lugemalila ?
Mkatoliki au mkristu akiandika hivyo, wale vichaa waliojaa huko barabarani watasimamisha nchi. Ila wao kutukuna ruksa na wanasifiwa kwa kusimamia maadili.
Maadili gani kudharau dini isiyokuhusu? Mnachotaka nini kwenye elimu? Mkasomeshe uarabuni watoto wenu au wabaki madrasa. Sio kuleta hoja ambazo wala hamna evidence. Mnapenda sana kumsingizia marehemu Kighoma Malima, ambaye naye alikuwa na ajenda zake kuupigia udini upatu
 
Hapa ndipo penye mtihani wa BAKWATA.
BAKWATA wanataka kuwa kiongozi wa Waislam.

Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka imani ya hali ya juu na kujitolea kwa lolote.
.
Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka kumtegemea Allah na kutomuogopa yeyote ila Allah Pekee.

Ponda kasimama dhidi ya dhulma za Baraza la Mitihani (NECTA) dhidi ya wanafunzi Waislam na kutangaza maandamano kama haya ya kuwaunga mkono Wapalestina.

Polisi wakatoa onyo kali kwa watakaotoka kuandamana.

Sheikh Ponda katika sala ya Ijumaa Msikiti wa KIchangani akawaambia Waislam, 'Kama hatukuandamana kwa dhulma hii ya NECTA tufanywe lipi ili tuandamane?''

Sheikh Ponda aliwauliza Waislam akiwa kasimama mbele kwenye kibla cha msikiti wa Kichangani.

Hotuba yake kwa Waislam jinsi vijana wa Kiislam wanavyodhulumiwa na NECTA ulijaza msikiti nzima simanzi.

Akawaambia Waislam.
''Tumekusanya ushahidi wote tunao.''

Ndani ya msikiti wamejaa makachero.
Nje ya msikiti kuna Defender na askari wamevalia mavazi ya mapambano.

Juu inapita helicopter.
Matangazo yametolewa Waislam wasithubutu kuandamana.

"Kama hatukuandamana kwa hili tutaandamana kwa lipi?
Mimi nitatangulia mbele kuongoza maandamano haya."

Hapo akaipa mgongo hadhira yake akaelekea kibla akanyanyua mikono yake kumkabili Allah kuomba nusra ya umma ule uliokuwa tayari kulikabili Jeshi la Polisi lenye silaha.

Allah aliwanusuru waandamanaji wote.

Maandamano yanafika Jangwani habari zinatangazwa Waislam wanaombwa waandamane kwa amani waelekee Kidongo Chekundu wasiingie mjini hapo viongozi watapokelewa na Polisi na kupelekwa Makao Makuu ya Wizara ya Ndani na ndipo Waraka wa Shura utapokelewa.

Wataalamu haraka waliishauri waliishauri serikali vizuri polisi wasipambane kwa kuwa yote aliyosema Sheikh Ponda msikiti ni kweli tupu.

Polisi haiwezi kuwashambulia Waislam kwani itakuwa fedheha kubwa ukweli utakapojulikana.

Vijana wote wanafunzi wa Kiislam waliodhulumiwa na NECTA walipata haki zao.

Sheikh Ponda alikuwa mstari wa mbele akiongoza maandamano yale.
Serikali ikijua yote yaliyofanyika NECTA dhidi ya wanafunzi wa Kiislam.

Hii ilikuwa mwaka wa 2012.

Leo Sheikh Ponda kasimama tena dhidi ya dhulma ya Ghaza na mauaji ya Wapalestina.

Kakamatwa.
Umma unasubiri.

Turejee nyuma miaka 10 iliyopita BAKWATA wanaotaka uongozi walisimama wapi sakata la NECTA?

Leo BAKWATA wamesimama upande gani katika mauaji ya Wapalestina Ghaza?

View attachment 2810973
View attachment 2810976
View attachment 2810982
View attachment 2810978
Sheikh Ponda akizungumza na Vyombo Vya Habari
(Picha ya zamani)
Hebu tuambieni kiwango cha elimu cha Ponda!! Tuanzie hapo kwanza!! Kwa tunaojua kiwango chake cha elimu tunamsamehe bure!! Hatuwezi kutarajia chochote cha ,maana kwa kiwango hicho cha elimu!! Bakwata ina wasomi wabobevu!! Inashangaza baadhi ya waislamu kushawishiwa na mambo ya hovyo toka kwa watu at most wanajua kusoma na kuandika tu tena kwa mbinde na kudharau maongozi ya BAKWATA yenye watu wasomi!!
 
Sjachanganya mkuu sijafafanua tu vizuri maana hapo nimeongea vitu viwili kwa kwa link mada,

Maana kama wewe unasema maandamano ya palestina yaratibiwe kitaifa hii haiwezekani maana hata nchi za walioandama huko ni raia ndo wameandaa na sio serikali zao,

Wewe kulazimisha taasisi nzima ya dini kuorganise maandamano ndo unaleta udini

Kwamba let say dereva bodaboda na bajaji wangeorganise maandamano nayo ingekua shida?

[emoji1787][emoji1787] mkuu angalia usije kua unaingia kwenye udini

Mimi naona wewe unapinga maandamano kama serikali ya taifa hili huko unakokimbilia taasisi ya dini sjui nini ni siasa hizo sasa

Jana nilikuuliza maandamano yana shida? Kama yanashida shida yake nini emu eleza
Unanilisha maneno mdomoni, sijakwambia taifa liandae maandano kwa ajili ya Palestina, lakini taasisi kama BAKWATA inaweza kueleweka na maandamano yanaweza kuwa nchi nzima na sauti ikasikika. Juu ya madereva bodaboda na bajaji wakiandaa maandano fulani...tayari hao ni wengi inaeleweka. Sasa huyu Issa Ponda anandaa maandano ya Waislam yeye kama nani kama siyo fujo na vurugu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu
 
Lax: Nashukuru umegusia tatizo lilipo. Shida kubwa iliyopo ni kuwa baadhi ya watu wamechagua upande wa vyombo vya habari aidha vya Magharibi au vya Kiarabu. Propaganda za haya matukio zipo kila upande, lakini kwasababu watu wameshachukia mataifa ya Magharibi kila taarifa itakayotolewa kwao ni ya uongo na itakayotolewa na Aljazeera ni ya ukweli! Upotoshaji ni mkubwa kila upande. Yote kwa yote mauwaji ni makubwa kwa Wapalestina na yanapaswa kulaaniwa na kila mwanadamu. Shida ni pale baadhi watu wanavyolichukulia kama agenda ya kujiimarisha kidini.

Utakuwa Shahidi wewe mwenyewe, jinsi vyombo vya habari vya nchi za Magharibi vinavyoripoti vifo vya watu Ukraine ni tofauti kabisa na jinsi Urusi inavyoripoti ikisaidiwa na hiyo Aljazeera. Muhimu ni kuwa makini na upotoshaji.
Apparently your mind is made up.
 
Hebu tuambieni kiwango cha elimu cha Ponda!! Tuanzie hapo kwanza!! Kwa tunaojua kiwango chake cha elimu tunamsamehe bure!! Hatuwezi kutarajia chochote cha ,maana kwa kiwango hicho cha elimu!! Bakwata ina wasomi wabobevu!! Inashangaza baadhi ya waislamu kushawishiwa na mambo ya hovyo toka kwa watu at most wanajua kusoma na kuandika tu tena kwa mbinde na kudharau maongozi ya BAKWATA yenye watu wasomi!!
Unachanganya kusoma na kuelimika.
 
Back
Top Bottom