Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #61
Prince...ikikupendeza naomba unidadavulie kilichojiri hadi watu wakafelishwa...;
Sijaelewa unataka kujua kitu gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prince...ikikupendeza naomba unidadavulie kilichojiri hadi watu wakafelishwa...;
tulifelishwaje...ilikuwaje wakagundua...? kipindi hicho kiongozi mkuu alikuwa muislam pia inamaana alishindwa kututetea waislam wenzakePrince...
Sijaelewa unataka kujua kitu gani.
Prince...
Naam.
Vijana wa Kiislam wakapata haki zao.
Prince,tulifelishwaje...ilikuwaje wakagundua...? kipindi hicho kiongozi mkuu alikuwa muislam pia inamaana alishindwa kututetea waislam wenzake
Kimsingi tunasoma ili kuelimika!! Japo kuna walliofeli wakaishia kusoma bila kuelimika!! Niambie huyu mtu wenu mnamweka fungu lipi? Nilivyokuelewa unataka kutuambai kuwa huyu mtu wenu hajasoma ila unataka kudanganya umma kuwa japo hajasoma ila ameelimika!! Tusidanganyane hakuna kuelimika bila kusoma!! Hiyo option ingekuwepo watu wasingetumia gharama kubwa kusoma!!Unachanganya kusoma na kuelimika.
Hongera!Kimsingi tunasoma ili kuelimika!! Japo kuna walliofeli wakaishia kusoma bila kuelimika!! Niambie huyu mtu wenu mnamweka fungu lipi? Nilivyokuelewa unataka kutuambai kuwa huyu mtu wenu hajasoma ila unataka kudanganya umma kuwa japo hajasoma ila ameelimika!! Tusidanganyane hakuna kuelimika bila kusoma!! Hiyo option ingekuwepo watu wasingetumia gharama kubwa kusoma!!
In short huyu jamaa hajasoma wala hajaelimika!!
Mbingu...Tuwekeeni hapa CV ya Ponda!! Tuone kaa kuna mwenye ubavu wa kufanya hivyo!!
Mzee Said, dini imekuathili sana uwezi kuwaza zaidi inje ya Uislamu? Msomi kwako ni yule mwenye uwezo wa kukariri Qruan, siyo? Kwann kila kitabu unachotushawishi tusome vyote vina mlengo wa udini, hasa vinavyotukuza Uislamu. Issa Ponda hawezi kuandika kitabu kisicho cha malalamishi na uchochezi. Niambie ni kipi kati ya ulivyovisoma.Mbingu...
Kwako wewe kusoma ni kusoma hadi uingie sekondari na labda zaidi ya hapo.
Mimi nimesomeshwa na waalimu ambayo hawakusoma kwa madarasa ya juu katika elimu hii ambayo wewe unataka uonyeshwe viwango vya Sheikh Ponda.
Sheikh Ponda kasoma tena vizuri sana elimu ya dini kiwango cha kuwa sheikh.
Sheikh Ponda ni hafidh yaani anaweza akakusomea Qur'an kutoka kichwani.
Sasa siwezi hapa nikakuekeza fani nyingine alizosoma mfano wa rarikh yaani historia, mantik, balagha, fiq nk. kwa kuwa itakuwa tabu kwako kuelewa.
Kwako wewe mtu aliyesoma na kuelimika ni yule aliyepitia elimu uliyokuwanayo wewe.
Mimi nimesomeshwa historia na Sheikh Ali bin Abbas mwanafunzi wa Sheikh Hassan bin Ameir.
Nikasoma elimu ya mijadala yaani mnakasha kutoka kwa Sheikh Haruna.
Elimu hizi nazitumia hapa JF na naamini mnafaidikanazo.
Nilikuwa nikimtaja mwalimu wangu Sheikh Ali Abbas katika kazi zangu kiasi James Brennan mmoja kati ya mabingwa wa historia ya Tanganyika alipokuja Tanzania aliniomba nimkutanishe na mwalimu wangu amuone.
Naamini Brennan akitatanishwa na mimi kumueleza mambo kadhaa ambayo yeye yalimsaidia katika tafiti zake na rejea zangu kuwa Sheikh Ali Abbas.
Ponda mpaka sasa kaandika vitabu viwili na ana miswada inakaribia 10 haijachapwa.
Lakini ikiwa unataka kuupima ubongo wa Sheikh Ponda msikilize anapozungumza.
Ukitaka kupima uwezo wa Sheikh Ponda na ''intellect'' yake soma kitabu chake hiki: ''Juhudi na Changamoto.''
Kitabu hiki mimi nimekifanyia pitio na kisha nikafanya mahojiano kuhusu kitabu hicho na Mohamed Ghassany wa DW.
View attachment 2815624
Huyu ni wa kumpuuza tu mkuu, hana nia yoyote na ustawi wa taifa zaidi ya kusisitiza chuki za kidini.Mzee Mohamed Said wewe ni mwislamu mnafiki. Kwenye uzi wako kuhusu vurugu za mabucha ya kitimoto ulisema wakati wa vurugu uliingia mitini na kuacha waislamu wenzako wakiingia kwenye matatizo. Kwa mfano hiyo picha uliyopost yenye swali " NECTA PAROKIA?" nia yake ni nini kwa wakati tuliopo? Inajulikana wewe ni mtu mwenye nia ovu dhidi ya amani ya nchi hii ndo maana watu kama nyie mtaishia kulalamika tu mtandaoni ila mkijitokeza dola inalala nanyi sambamba. Mzee acha chokochoko. Kama kuna watu wanakulipa kwa huu ushenzi unaoandika hapa JF waambie ni ngumu sana kutimiza huo ujinga wenu ndani ya Tanzania.
City...Huyu ni wa kumpuuza tu mkuu, hana nia yoyote na ustawi wa taifa zaidi ya kusisitiza chuki za kidini.
Mbussi,Mzee Said, dini imekuathili sana uwezi kuwaza zaidi inje ya Uislamu? Msomi kwako ni yule mwenye uwezo wa kukariri Qruan, siyo? Kwann kila kitabu unachotushawishi tusome vyote vina mlengo wa udini, hasa vinavyotukuza Uislamu. Issa Ponda hawezi kuandika kitabu kisicho cha malalamishi na uchochezi. Niambie ni kipi kati ya ulivyovisoma.
Mohammed Said,Mbussi,
Hakika Uislam umeniathiri sana na ndiyo inavyotakiwa kwani ni kitu chema mno.
Uislam unakufunza yote yaliyo mema na kukutaza yote maovu.
Nani hatopenda haya?
Kuhifadhi (hifdh) si kukariri.
Hili ni msingi wa elimu ya Uislam.
Soma kwanza kitabu cha Sheikh Ponda ujue alichoandika ndiyo tujadili.
Huwezi kujadili kitabu usichokisoma.
''Imekuathiri''
Jitahidi katika R/L.
Huyo partner wake Mange Kimambi.
Huna lolote ni mpuuzi tu.City...
Nimejibu huko nyuma kuhusu hili suala la ''kuingia mitini.''
Hiyo si lugha yangu.
Ikiwa uko ushahidi na uwekwe hapa watu wausome.
Ama hili la mimi kupuuzwa si jambo jepesi na lingekuwa jepesi ungeanza wewe kuwa kimya huandiki kuhusu mimi.
Sijaandika chuki yoyote.
Kilichokuumiza wewe na mko wengi ni kuona kuw animefanikiwa kuirejesha historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.
Execute,Shehe watoto wenu Zanzibar wanapata F ya dini ya kiislamu. Shule zenu zinaongoza kutokea mkiani. Mkapa mkatoliki kawapa chuo cha tanesco mmekigeuza madrasa.
Baba...
Sikumbuki ni ipi.