#COVID19 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono waraka wa KKKT na Kanisa Katoliki kuhusu kujikinga na Corona

#COVID19 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono waraka wa KKKT na Kanisa Katoliki kuhusu kujikinga na Corona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wito uliotolewa na makanisa hayo (KKKT na Katoliki kuhusu kujilinda na maambukiz ( 359 X 640 ).jpg


Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Afrika kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee, bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania.

Amewaasa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona .

Chanzo: MwanaHalisi Digital
 
Kutokutazama televisheni na kutokusikiliza radio pamoja na kuwa wavivu wa kusoma magazeti ni janga kwa kizazi cha watu fulani.
 
View attachment 1702454

Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Africa kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga , amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee , bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania .

Amewaasa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona .

Chanzo : MwanaHalisi Digital
Anapigania haki za waislamu gani hao?
 
Back
Top Bottom