Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Watu wenye ushawishi kama hawa wanapoamua kuingilia kati mambo haya wanazidi kuwaamsha raiaAsante sana Sheikh Ponda
Ni kweli kabisa siyo kuhamasishwa nyungu season 4Ni kweli kabisa Watu wenye ushawishi kama hawa wanapoamua kuingilia kati mambo haya wanazidi kuwaamsha raia
Anasema Corona imepunguza matakrooo, yeye anataka matakrooo tu!Sheikh kipoozeo amesemaje yeye!?
Nini kipya hapo mpaka umshukuru?Asante sana Sheikh Ponda
Kipya ni kujitokeza kupiga vita corona katikati ya vitishoNini kipya hapo mpaka umshukuru.
Soma vizuri tena ameongea kwa niaba ya Waislam wa Afrika, ikiwemo na LibyaAmeongea kwa niaba ya Chadema au waislamu?
Wewe si unasubiri upimwe corona kichina china, ile ya kupakua stool kwa kijiti!Ameongea kwa niaba ya Chadema au waislamu?
Yeye anapambana na yale ma jaaliwa anayosemaga anayapenda..leo nadhani ni valentineSheikh kipoozeo amesemaje yeye!?
Ile itaanzia hapo Ufipa mnapong'ang'ania chanjo na wataanza na viongozi wako wa juu!Wewe si unasubiri upimwe corona kichina china, ile ya kupakua stool kwa kijiti!
Anapigania haki za waislamu gani hao?View attachment 1702454
Sheikh Ponda ambaye ni miongoni mwa Masheikh wanaoheshimika sana na Waislam wa Africa kutokana na kupigania haki za Waislam bila uoga , amesema Juhudi za Makanisa kuwaelekeza waumini wao njia bora za kujikinga na Corona haziwahusu waumini hao pekee , bali zinawahusu wananchi wote wa Tanzania .
Amewaasa wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona .
Chanzo : MwanaHalisi Digital