#COVID19 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono waraka wa KKKT na Kanisa Katoliki kuhusu kujikinga na Corona

Mbona bado msikiti anaoswali watu wamejaa pomoni? Angepiga marufuku wasiswali aone kama hajabaki peke yake. Kila nafsi itaonja mauti akiwemo na yeye, wewe na mimi! TUSITISHANE!!!
 
Mbona bado msikiti anaoswali watu wamejaa pomoni? Angepiga marufuku wasiswali aone kama hajabaki peke yake. Kila nafsi itaonja mauti akiwemo na yeye, wewe na mimi! TUSITISHANE!!!
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hakuna anayekutisha ila tambua kwamba kule makumbusho wanakochomea mabohora na wahindi foleni ya kuchoma imefika barabarani
 
Jumuiya ipi iliyomkana Ponda ?
 
Kutoka maktaba yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…