Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:

IMG_20211123_192057_475.jpg

Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:

"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
 
Nilipokuwa mdogo sekondari skuli niliamini na kuaminishwa kuwa sheikh Ponda ni mtu mbaya.. asiyefaa katika jamii, muuaji, gaid n.k

Nashukuru nimekuwa mtu sasa naamini kinyume chake.
Naomba Mungu anisamehe kwa fikra zile utotoni.
 
Mashehe ubwabwa tawi la ccm huko waliko wanaumia sana..mana ngumu kuishi na unafiki..sema njaa watakula wapi...so inabidi waishi kinafiki tu kushabikia dhuluma.

Big up sheikh ponda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:

View attachment 2021205

Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:

"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"

Tatizo la Watanzania ni unafiki. Raia wasio na hatia wako magerezani na wengine wanauliwa ili tu CCM watawale milele na ajabu hao wanaohimiza tufunge na kusali kuomba mvua hawajawahi kukemea vitendo hivyo.

Mwenyezi Mungu sio wa CCM peke yao!!!!!!!!!!!
 
Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:

View attachment 2021205

Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:

"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Unyama wa Magufuli na Samia ndio unaotuleta maafa haya. Tumuombe Mungu atusaidie tena kama alivyokuja 17 03 2021
 
Back
Top Bottom