Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Lile livaa mipete ya kijani na udhurungi..Kama lile sheikh Ubwabwa la DSM, linafiki kama shetani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile livaa mipete ya kijani na udhurungi..Kama lile sheikh Ubwabwa la DSM, linafiki kama shetani!
Ujumbe mzuri sana! Ubarikiwe shekhe IssaSheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
View attachment 2021205
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Huyu ndiyo shehe wa kweli siyo wale wa ubwabwaSheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
View attachment 2021205
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Huyu father yupo vizuri sanamiongoni mwa mashekhe wachache ninaowakubali sana
Hao kina wa upako hawana lolote zaidi ya kujipendekeza kila sikuAshukuriwe sheikh Ponda. Mzee wa upako na wenzake wasipotia neno ...
Uzalendo ukitushinda tusilaumiane.
Hao hawana lolote kwao kazi kubwa kwao ni kupigania matumbo yaoDini zote huwa hazitaki unafiki.
Kama wale bakuwata lazma waende jehanam
Nimekusoma mkubwaHuyu ndiyo shekh
Sio wale mashehe ubwabwa wa bakwata
AmeeehhhnaaaaM/Mungu akupe seat ya mbele kabisa peponi Shekhe wangu ISSA PONDA . Ule vitamu na mitume wa Allah. ..InshaAllah..
Dah! Sheikh Ponda atabanjua bikra za kutosha peponi; daraja ya juu kabisa inamsubiria wallahi!M/Mungu akupe seat ya mbele kabisa peponi Shekhe wangu ISSA PONDA . Ule vitamu na mitume wa Allah. ..InshaAllah..
Watu wanzitafuta fursa 'opportunity seekers'Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
View attachment 2021205
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Bora hata waumini watu wazima.Kule kumejaa Mashehe ambao mchana Shehe usiku wanawapumulia Waumini visogoni.
BIBI MITOZO...TOZA TOZA .....NA MAJARIBIO YA KUTESA WA UPINZANISheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
View attachment 2021205
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Kuna watu watakuja kupinga ila ndo ukweli wenyewe
Case closed!Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:
View attachment 2021205
Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:
"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
Kuinua mikono yenye damu za watu juu kwa kutaka baraka hiyo kwa Mungu haiwezekani ila labda kama tunamuomba shetaniWaanzie wapi kupinga nini mkuu?
Huu ndiyo ulio ukweri!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kuinua mikono yenye damu za watu juu kwa kutaka baraka hiyo kwa Mungu haiwezekani ila labda kama tunamuomba shetani