Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

Kiukweli mm CCM makini,nilikuwa na fikra ya hovyo juu ya Shekh huyu jmn, Dah! Mungu anisamehe sana maana sikuwa nimemuelewa uzuri.

Mimi Mkristo-Katoliki mwenye msimamo mkali wa Kikatoliki lakini huyu Shekh ni bonge ya mtu, Mungu ampe afya njema!

Akisema anapigania HAKI unajua kabisa anacho kiongea anakiishi; barikiwa mzee wetu.
Ni mkweli sana lakini utawala katili hautaki watu wa haki kama hawa
 
Nilipokuwa mdogo sekondari skuli niliamini na kuaminishwa kuwa sheikh Ponda ni mtu mbaya.. asiyefaa katika jamii, muuaji, gaid n.k

Nashukuru nimekuwa mtu sasa naamini kinyume chake.
Naomba Mungu anisamehe kwa fikra zile utotoni.
Umesamehewa mkuu
 
Kila msema kweli mtamuita Chadema,hata Jenerali Ulimwengu ambaye ni Kada wa CCM mlianza kusema ni Chadema.

Jaji Warioba mlikuwa mnasema anatumwa na Chadema.

Na sasa Sheikh wetu Ulamaa Ponda Issa Ponda mliemshindwa kumuua kwa kummiminia risasi pale Morogoro.
Hapo hapo wanasema CHADEMA imekufa sasa kama imekufa inatumaje watu?
 
Hizo propaganda za viongozi wa dini kujihusisha na sihasa sasa nani kadhurumiwa wakati watu wanatekeleza majukumu yao huku mnawaona wabaya.

IMG_20211015_144814_546.jpg
 
Viongozi wengine wa dini ni wanafiki au waoga,hawana ujasiri kama shehe Ponda.

Wengine ni njaa tu. Hawana tofauti na Sauli (Mat 9:4-5):

4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi?
5 Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.
 
Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana:

View attachment 2021205

Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine:

"Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
WALIOKO NDANI NIKUTOKANA NA MABAYA YAO HIVI UNASEMA MBOWE ATOKE NJE WAKATI KUNA WATU KAUA KINA WANGWE KINA SAANANE KWAAJILI TYU YA UCHU WA KUWA MWENYEKITI HALAFU UNAKUJA KUHARISHA HAPA KUWA WAACHIWE WATU MAGEREZANI SI UJINGA HUO KAA KIMYA KAMA HUWEZI KUONGEA YA MAANA
 
Back
Top Bottom