Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

Nilipokuwa mdogo sekondari skuli niliamini na kuaminishwa kuwa sheikh Ponda ni mtu mbaya.. asiyefaa katika jamii, muuaji, gaid n.k

Nashukuru nimekuwa mtu sasa naamini kinyume chake.
Naomba Mungu anisamehe kwa fikra zile utotoni.
Waliokuaminisha wakitaka uwe na chuki kwa mtu ambaye anapenda haki. Ndiyo ujue nchi ina mashetani sana hii
 
Nilipokuwa mdogo sekondari skuli niliamini na kuaminishwa kuwa sheikh Ponda ni mtu mbaya.. asiyefaa katika jamii, muuaji, gaid n.k

Nashukuru nimekuwa mtu sasa naamini kinyume chake.
Naomba Mungu anisamehe kwa fikra zile utotoni.
Una umri gani Mkuu??
 
Huyu mwamba waliaminisha umma kama in mchochezi.
Ukweli husimamia kile anachokiamini ktk Mungu wake

Hata kina walikuwa demonized na hata kuitwa magaidi
 
..

..

DSC_0498.jpg

DSC_0719.jpg

DSC_0678.jpg

DSC_0366.jpg
 
Hizo propaganda za viongozi wa dini kujihusisha na sihasa sasa nani kadhurumiwa wakati watu wanatekeleza majukumu yao huku mnawaona wabaya.
 
Kiukweli mm CCM makini,nilikuwa na fikra ya hovyo juu ya Shekh huyu jmn, Dah! Mungu anisamehe sana maana sikuwa nimemuelewa uzuri.

Mimi Mkristo-Katoliki mwenye msimamo mkali wa Kikatoliki lakini huyu Shekh ni bonge ya mtu, Mungu ampe afya njema!

Akisema anapigania HAKI unajua kabisa anacho kiongea anakiishi; barikiwa mzee wetu.
 
Back
Top Bottom