PreGE2025 Sheikh Ponda: Tushiriki Uchaguzi, Piga kura kisha Linda Kura yako

PreGE2025 Sheikh Ponda: Tushiriki Uchaguzi, Piga kura kisha Linda Kura yako

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Ponda, Ado, Dorothy, Mchinjita wanaunguruma ndani ya Viunga vya Manzese, Juni 18, 2025

View: https://www.youtube.com/live/hZcBbjT8OhM
Screenshot 2025-06-19 112036.jpg

Screenshot 2025-06-19 112022.jpg

Screenshot 2025-06-19 112008.jpg

"Safari hii tutatangazwa watake wasitake! Wabunge wa upinzani huenda bungeni kwa nguvu ya ulinzi wa kura. Kupiga kura ni haki, na kulinda kura pia ni haki." Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo.
​
 
Wewe roving journalist si huwa.unaripoti habari za ccm tuu imekuwaje leo unaripoti ccm B.

Mambo ya nyumba nyeupe mengi unaripoti wewe mpaka tukadhani ni zuhura.
 
Ponda angebaki tu kuwa mwanaharakati wa Kiislamu kwani Bakwata tayari ni kitengo cha CCM hivyo haitetei maslahi ya Waislamu, ni yeye Sheikh Ponda peke yake ndiye alikuwa mtetezi wa Waislam.
 
Wamesaini maadili ya uchaguzi kuwa ukishapiga kura ondoka kituoni, na ukae mita 200 kutoka kituo cha kura. Sasa hizo kura utalinda kwa bluetooth? Wenzao Chauma wameona bora wasitishe ziara maana mahudhurio kwenye mikutano yao ni hafifu.
 
Wamesitisha?!!wamekata pumzi mapema hivi??
 
Back
Top Bottom