Uchaguzi 2020 Sheikh Ponda: Zanzibar itakuwa ni mlango wa kuvunjika amani uchaguzi mkuu 2020

Tunakoelekea Wanzanzibari watamwaga damu zao kulinda kura na heshima yao. Sisemi mimi bali alama za nyakati.
 
SHEHE Ponda sio mzanzibarI akamatwe UPESI akaungane na mashehe wenzie ndani. Zanzibar ni nchi kamili na huru.Hawezi fanya Tanzania bara eneo lake la kuishambulia nchi ya zanzibar .AKAMATWE UPESI

Kama maoni ni jela basi sisi wa vijiweni mtatufunga sana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
mtafungwa kweli kuchochea matatizo ya nchi nyingine ukiwa ndani ya Tanzania jela ujiandae
Zanzibar ni nchgi huru .Tanzania bara haiwezi tumika kama kambi ya waasi wa kuishambulia zanzibar.Ponda asiachwe akamatwe.Ya zanzibar waachiwe wazanzibari wenyewe wenye vitambulisho vya ukaazi wa ZANZIBAR
 
Zanzibar is a ticking bomb kwa Tanganyika.
Isipotumika akili ya ziada basi tegema kuona Mfekane War kubwa siku sijazo.
WAPINGA zanzibar wako tanzania bara!!!! nyumba zao,biashara zao zote ziko bara.Ndio maana likitokea la kutokea zanzibar wao hao utawakuta wako wanakula kuku kwa mrija Tanzania bara wanaacha wenzao wanakula virungu zanzibar
 
Binafsi mwaka huu siendi kupiga Kura maana Ni kupoteza mda wangu bure,Ni Bora nkaenda kutafuta buku ya fungu la dagaa kwa ajili ya familia,ukizingatia kauli za mkubwa kuwa nkulipe Mimi mshahara na gari la kutembelea halafu nisikie umemtangaza mpinzani.........
Naweza kusema kura wataenda kupiga makada watiifu kwa CCM na ambao akilo haziwatoshi.
Mwenye akili timamu sidhani .
 
WAPINGA zanzibar wako tanzania bara!!!! nyumba zao,biashara zao zote ziko bara.Ndio maana likitokea la kutokea zanzibar wao hao utawakuta wako wanakula kuku kwa mrija Tanzania bara wanaacha wenzao wanakula virungu zanzibar

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila siku Trump anapewa za uso ila hatujasikia watu wa nje wanakamatwa
Kasome katiba ya nchi kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo
Punguza jazba

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
mtafungwa kweli kuchochea matatizo ya nchi nyingine ukiwa ndani ya Tanzania jela ujiandae
Zanzibar ni nchgi huru .Tanzania bara haiwezi tumika kama kambi ya waasi wa kuishambulia zanzibar.Ponda asiachwe akamatwe.Ya zanzibar waachiwe wazanzibari wenyewe wenye vitambulisho vya ukaazi wa ZANZIBAR
Kama Zanzibar huru, ilikuwaje wale mashekhe wakatiwa Jela Tanganyika mwaka wa nane huu? Au ndio uhuru wenyewe huo? Uko huru kufanya utakalo Zanzibar ukitokea tanganyika
 
SHEHE Ponda sio mzanzibarI akamatwe UPESI akaungane na mashehe wenzie ndani. Zanzibar ni nchi kamili na huru.Hawezi fanya Tanzania bara eneo lake la kuishambulia nchi ya zanzibar .AKAMATWE UPESI
Mnayoyafanya nyinyi kinyume na taratibu nisahihi na mko sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtafungwa kweli kuchochea matatizo ya nchi nyingine ukiwa ndani ya Tanzania jela ujiandae
Zanzibar ni nchgi huru .Tanzania bara haiwezi tumika kama kambi ya waasi wa kuishambulia zanzibar.Ponda asiachwe akamatwe.Ya zanzibar waachiwe wazanzibari wenyewe wenye vitambulisho vya ukaazi wa ZANZIBAR
Leo ni nchi huru baadaye mnasema si nchi.

Kiufupi ujinga unaofanywa ni serikali yako ni WA kijinga kabisa.

Utawezaje kumyima mtu haki ya kujiandikishaa halafu ujimwambaf kwamba unapendwa.
Hamna uwezo WA kupata hata kiongozi mmoja Zanzibar Bila ya mbeleko ya kuwazuia kwanjia hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom