jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Hamthubutu kumkamata kwasasa mtachochea vurugu.ponda anakamatwa anapelekwa zanzibar
kuna mkataba wa kubadilishana .Ponda ajiandae kwenda gereza zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamthubutu kumkamata kwasasa mtachochea vurugu.ponda anakamatwa anapelekwa zanzibar
kuna mkataba wa kubadilishana .Ponda ajiandae kwenda gereza zanzibar
Hii ichukuliwe kama tahadhari na mamlaka husika zizibe ufa huu mapemaKatibu mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu.
Ponda amesema kwa Siasa zinazoendelea Zanzibar kwa sasa ni wazi kabisa kama amani itavunjika wakati wa uchaguzi basi mlango wake utakuwa ni huko Zanzibar.
Sheikh Ponda amesema hayo katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na Star tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi mada ikiwa Amani wakati wa Uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Sheik Ponda ni mmoja wa viongozi wa Waislamu aliye mahiri. Sio kibaraka wa Sirikali kama wale akina sheikh Alhad Mussa na wenzake!Katibu mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu.
Ponda amesema kwa Siasa zinazoendelea Zanzibar kwa sasa ni wazi kabisa kama amani itavunjika wakati wa uchaguzi basi mlango wake utakuwa ni huko Zanzibar.
Sheikh Ponda amesema hayo katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na Star tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi mada ikiwa Amani wakati wa Uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
WARUDISHENI MASHEHE KWANZA ACHENI KUJISAHAULISHAmtafungwa kweli kuchochea matatizo ya nchi nyingine ukiwa ndani ya Tanzania jela ujiandae
Zanzibar ni nchgi huru .Tanzania bara haiwezi tumika kama kambi ya waasi wa kuishambulia zanzibar.Ponda asiachwe akamatwe.Ya zanzibar waachiwe wazanzibari wenyewe wenye vitambulisho vya ukaazi wa ZANZIBAR
habari ndiyo hiyo.... huyu shehe yupo sahihi kabisa!!Katibu mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu.
Ponda amesema kwa Siasa zinazoendelea Zanzibar kwa sasa ni wazi kabisa kama amani itavunjika wakati wa uchaguzi basi mlango wake utakuwa ni huko Zanzibar.
Sheikh Ponda amesema hayo katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na Star tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi mada ikiwa Amani wakati wa Uchaguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe je wazee hawajakosea kuku zaa? Kabla hujatakia wenzio mabaya jitizame nawewe kwanza unayataka ayo mabaya!Mahakama ilikosea sana kumwachilia huyo mtu na Dola inazidi kukosea kwa kumwachilia kuendelea kuwepo uraiani
Nafuu vita itokee tuheshimiane kuliko kudharauliwa na akina Makonda na Jiwe ambao wanaitawala Tanzania kama ghetto lao
Huyu mchochezi ana urafiki wa karibu sana na mhaini TUNDU ANTIPAS LISSU naona wote wanatumiwa na mabeberuKwa kitendo cha kufanya mahojiano na huyo mchochezi sugu, Star tv wanapaswa kunyangwanywa leseni
TCRA /& Wizara ya Habari na Mawaliano shughulikia hiyo
Alhad Musa ni boss wa sheikh Ponda!Sheik Ponda ni mmoja wa viongozi wa Waislamu aliye mahiri. Sio kibaraka wa Sirikali kama wale akina sheikh Alhad Mussa na wenzake!
SHEHE Ponda sio mzanzibarI akamatwe UPESI akaungane na mashehe wenzie ndani. Zanzibar ni nchi kamili na huru.Hawezi fanya Tanzania bara eneo lake la kuishambulia nchi ya zanzibar .AKAMATWE UPESI
Hakuna wa kukinukisha zaidi sana ni harufu ya karafuu na pilau tuuBaada ya uchaguzi, wakikinukisha ndio tutakuja kumkumbuka huyu Shehe kuwa aliwahi kutoa ushauri wa bure