Uchaguzi 2020 Sheikh Ponda: Zanzibar itakuwa ni mlango wa kuvunjika amani uchaguzi mkuu 2020

Katibu mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu.

Ponda amesema kwa Siasa zinazoendelea Zanzibar kwa sasa ni wazi kabisa kama amani itavunjika wakati wa uchaguzi basi mlango wake utakuwa ni huko Zanzibar.

Sheikh Ponda amesema hayo katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na Star tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi mada ikiwa Amani wakati wa Uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
Hii ichukuliwe kama tahadhari na mamlaka husika zizibe ufa huu mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu.

Ponda amesema kwa Siasa zinazoendelea Zanzibar kwa sasa ni wazi kabisa kama amani itavunjika wakati wa uchaguzi basi mlango wake utakuwa ni huko Zanzibar.

Sheikh Ponda amesema hayo katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na Star tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi mada ikiwa Amani wakati wa Uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
Sheik Ponda ni mmoja wa viongozi wa Waislamu aliye mahiri. Sio kibaraka wa Sirikali kama wale akina sheikh Alhad Mussa na wenzake!
 
mtafungwa kweli kuchochea matatizo ya nchi nyingine ukiwa ndani ya Tanzania jela ujiandae
Zanzibar ni nchgi huru .Tanzania bara haiwezi tumika kama kambi ya waasi wa kuishambulia zanzibar.Ponda asiachwe akamatwe.Ya zanzibar waachiwe wazanzibari wenyewe wenye vitambulisho vya ukaazi wa ZANZIBAR
WARUDISHENI MASHEHE KWANZA ACHENI KUJISAHAULISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu mkuu wa Jumuiya za Kiislamu Tanzania sheikh Issa Ponda amedai kuwa kuna wazanzibar wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura kinyume cha utaratibu.

Ponda amesema kwa Siasa zinazoendelea Zanzibar kwa sasa ni wazi kabisa kama amani itavunjika wakati wa uchaguzi basi mlango wake utakuwa ni huko Zanzibar.

Sheikh Ponda amesema hayo katika mahojiano yaliyorushwa mubashara na Star tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi mada ikiwa Amani wakati wa Uchaguzi.

Maendeleo hayana vyama!
habari ndiyo hiyo.... huyu shehe yupo sahihi kabisa!!
 
Kwa kitendo cha kufanya mahojiano na huyo mchochezi sugu, Star tv wanapaswa kunyangwanywa leseni

TCRA /& Wizara ya Habari na Mawaliano shughulikia hiyo
Huyu mchochezi ana urafiki wa karibu sana na mhaini TUNDU ANTIPAS LISSU naona wote wanatumiwa na mabeberu
 
SHEHE Ponda sio mzanzibarI akamatwe UPESI akaungane na mashehe wenzie ndani. Zanzibar ni nchi kamili na huru.Hawezi fanya Tanzania bara eneo lake la kuishambulia nchi ya zanzibar .AKAMATWE UPESI

kamkamate wewe., kutu.
 
Back
Top Bottom