Uchaguzi 2020 Sheikh Ponda: Zanzibar itakuwa ni mlango wa kuvunjika amani uchaguzi mkuu 2020

SHEHE Ponda sio mzanzibarI akamatwe UPESI akaungane na mashehe wenzie ndani. Zanzibar ni nchi kamili na huru.Hawezi fanya Tanzania bara eneo lake la kuishambulia nchi ya zanzibar .AKAMATWE UPESI
Waliomtuma/kinachomsukuma wala sio Zanzibar, kinachotafutwa ni base ya kupenetrate East Africa, Kenya kuna resistance, Uganda sio easy na Bara ni Moto.. so the easy touch ni huko Zenj, na once wako hapo Bara iko puani...But guess what!?..The Republic is standing Firm na hakuna Compromise.
 
Awe makini atarudishwa tena lupango shauri yake
 
Kila vurugu ina vinara,serikali ihakikishe vinara wanadhibitiwa mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHEHE Ponda sio mzanzibarI akamatwe UPESI akaungane na mashehe wenzie ndani. Zanzibar ni nchi kamili na huru.Hawezi fanya Tanzania bara eneo lake la kuishambulia nchi ya zanzibar .AKAMATWE UPESI
Una akili timamu ?
 
Kwa kitendo cha kufanya mahojiano na huyo mchochezi sugu, Star tv wanapaswa kunyangwanywa leseni

TCRA /& Wizara ya Habari na Mawaliano shughulikia hiyo
 
SHEHE Ponda sio mzanzibarI akamatwe UPESI akaungane na mashehe wenzie ndani. Zanzibar ni nchi kamili na huru.Hawezi fanya Tanzania bara eneo lake la kuishambulia nchi ya zanzibar .AKAMATWE UPESI
Eti we nawe ni mlokole,mfuasi wa Yesu Kristo. Wewe na wapuuzi wenzio ndo mnafanya watu wasite kumpokea Yesu maishani mwao.

'Huendi Mbinguni' - by Whozou.
 
Shekhe Ponda kama angelikuwa na uwezo huo, angeshafanya uvunjifu wa amani siku nyingi sana. Tuache kuongea kama vile tunamiliki ardhi na anga. Halafu kesho ikija tunaanza kusema kuna mtu kaonewa. Kwani lugha ya shari inaashiria nini?
 
Umepatia sana....wabara kama Shehe Ponda, Zito Kabwe na nk. wanaumia kuona Zanzibar inatulia/ama inadhibitiwa vyema na serikali ya muungano.....wanatamani Zanzibar ishindikane (pachafuke) na muungano uvunjike ili liwe chako lao (kituo chao) cha kufanyia mashambulizi dhidi ya bara (ya udini, siasa chafu na nk.)
 
Kwa kitendo cha kufanya mahojiano na huyo mchochezi sugu, Star tv wanapaswa kunyangwanywa leseni

TCRA /& Wizara ya Habari na Mawaliano shughulikia hiyo
Vita ya Syria ilianza kwa kijana mdogo tu. Siku ukweli ukidhihiri hakuna Tanganyika wala Zanzibar kitawaka tu chenyewe
 
Aliposema hiyo kauli najua kale katangazaji ka Star TV kalivyokaoga mishipa ilikasimama usoni km yule mtangazaji wa Tbc Zakalia Gabriel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…