TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Muktadha mzima wa dini namaanisha hizi dini zote zilizopo kwa ujumla wake usigawe madhehebu,

Hizi dini za kwenda motoni kuna ambayo inasema mwenzake ataenda peponi?

Nipate katika context hiyo mkuu
Hakuna ,lakin jiulize hasa uislamu ambao unabagaza Hadi historia iliyopo

Angalia Quran inavyotumika kwa shirk ,

Kwahiyo kwenye hizi dini inahitajika akili kuliko hisia
 
Reactions: Lax
Wivu ni uchawi, hiyo dua imejaa wivu. Naomba kujua hiyo dua wanaomba kwa nani? Kwasababu huyo anayeombwa atakuwa na ukatili na ana tabia za waombaji.
Anatumia Quran Kuna sura anazisoma ,

Unataka maelezo zaidi?

Mimi nilikuwa huko naweza kulielezea zaidi
 
Albadir ni moja ya majina ya Allah katika yale 99

Tukija kweny mada hapo juu neno maarufu kama albadir ni uchawi na ushirikina kama ushirikina mwengne ikiwa unasoma Kwa kutaka mtu mwingne apate tabu au imedhuru

Na albadir ni kutaja tu majina ya maswahaba wa mtume Muhammad (saw) kwania njema lakn ukianza kua na Nia zako ovu huo ni uchawi na shirki
 
Hakuna ,lakin jiulize hasa uislamu ambao unabagaza Hadi historia iliyopo

Angalia Quran inavyotumika kwa shirk ,

Kwahiyo kwenye hizi dini inahitajika akili kuliko hisia
Hakuna dini au maandiko ya dini hayatumiwi kweny ushirikina yakipindishwa labda uwe maamuma ndo utakua hujui hili.

Hata biblia inatumika kweny ushirikina
Tanakh inatumika
Quran inatumika
Maandiko ya Buddha na Hindu yanatumika
Taoism yanatumika

Kwahyo hakuna jipya labda kama kuna kitu unajua kuliko waliokuletea dini ndo ulete hapa
 
Biblia ,Tanakh unaitumiaje kurogea mtu?

Waganga wa kienyeji ,masharifu ,wapunga majini wanatumia Quran Unajua kwanini
 
Reactions: K11
Biblia ,Tanakh unaitumiaje kurogea mtu?

Waganga wa kienyeji ,masharifu ,wapunga majini wanatumia Quran Unajua kwanini
Kwaakili zako unazan uganga umenzia huku afrika tu.

Bibi zako kabla ya kuja uslam na ukristo walikua sio waganga nasio wachawi?

Maandiko Yako mengi yanatumiwa kurogea lakn sio lengo lake hii elimu ni Pana.

Unataka kusema na uko ulaya waganga ni mashekh?
 
Sijakuuliza kabla ,nazungumzia sasa ,kwanini Quran inatumika kwenye uganga ?

Kumbuka shetani ni yule yule

Ushaona Kuna Dua mbaya kwa mtu na Aya za visomo kwa biblia ?

Kwanini MASHEIKH wanatumia Quran kufanyia shirk ,hata kutumia watu majini na kufuga
 
Matokeo ya uchawi Huwa proven kisayansi,na majibu yake Huwa ya kisayansi zaidi, ila technics za kuzusha matukio ya uchawi ndio Huwa hazidhibitiki kisayansi,. ,,,Mfano possibly alipigwa Pepo kwenye dashboard hata hakuona kama Yuko 140,mfano mwingine,
Sina uzoefu ,ila Kuna mdau aliwahi kusema south Africa wao wakitaka kukuua wanamroga mtu ,from no where anasukumwa kukuua physically, labda kwa bunduki,kisu au vinginevyo,. So hakuna uchawi hapo
 
Nimei
Nimesikiliza hiyo albadili nikajikuta nacheka kwa sauti. Kumbe ni mambo ya kiwaki hivi ndo huwa albadil, mtu anamuimbea mwenzake asahau sahau, asipendwe na viongozi wa kisiasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakianan albadili ni kuwaga
Hivi Allah ndio Mungu huyu huyu,au Kuna kitu kingine! Kwa ibada hii nimeanza kuwaza Hawa wenzetu si mara zote wanamaanisha huyuhuyu Mungu tunayemjua sisi
 
Ni ajali ya kawaida?

Ni ajali ya kusababishwa kwa njia za kawaida?

Ni uchawi kazini?

Kabla ya kufikwa na umauti, alishasikika akieleza kuwa wenzake wasiomtakia mema walikuwa wamemsomea albadiri kwa lengo la kuiteketeza taasisi yake na yeye mwenyewe!

Ajali iliyopelekea kifo chake inaweza kuwa na mahusiano na matakwa ya "maadui" zake?

Binafsi simfahamu shehe Njuki, leo ndiyo nimekuta taarifa zake mtandaoni, zikanishangazwa sana!

Uchawi upo, lakini pia ijulikane kuwa na Mungu Yupo aliye ya vyote!!!
 

Attachments

  • DUA_WALIYO_MUOMBEA_SHEIKH_NJUKI_KUPATA_AJALI_NA_TAASISI_YAKE_KUFA(240p).mp4
    10.8 MB
Huna hoja

JIbu ni Moja tu ungesema hayatumiwi zaidi ya Quran tu Kuzunguka zunguka huo ni ukosefu wa maarifa
 

We unasemaje au unaonaje?
 
Kwan majini humdhuru mfuga majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…