TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Tazama YouTube.
Video yavuja Sheikh Njuki akiombewa dua apate ajali.

Video ipo pale ya Ile Dua inasomwa.
 
4. Fitna na Mashindano – Badala ya mshikamano, chuki binafsi na mashindano ya kijamii yakawa chanzo cha maombi ya mabaya. Hatimaye Sheikh Njuki akajikuta akifanyiwa Albadil Dua ya kumuombea apate ajali ili kuua taasisi yake.
Sasa kwanini Allah amekubali hiyo sala/Dua ya kumuimbea mtumishi afe?!
Cc Kiranga
 
Sasa kwanini Allah amekubali hiyo sala/Dua ya kumuimbea mtumishi afe?!
Cc Kiranga
Ukishaona kumekuwa na haja ya kumuomba kitu Allah tu, ujue huo nao ni ushahidi kuwa Allah hayupo.

Allah angekuwapo asingesubiri kuombwa kitu kizuri, angekupa kabla hujaomba.

Na kitu kibaya hata asingekupa nafasi ya kukiomba.
 
Mbwa kala mbwa


Sifa zisizomfaa Mungu katika Biblia​


A. Mungu kinyozi
(Isaya 7:20) – Biblia inasema Mungu atawanyoa watu kwa wembe wa kukodiwa. Je, Mungu hufanya kazi ya kunyoa?


B. Mungu anayepiga mluzi
(Isaya 5:26; 7:18) – Biblia inamwonyesha Mungu akipiga mluzi kama nyoka.


C. Mungu anayenguruma
(Isaya 42:13; Hosea 11:10) – Analinganishwa na simba anayenguruma.


D. Si Mwenye Nguvu Zote
(Wakimbizi 1:19) – Anashindwa kufukuza wenye magari ya chuma, kinyume na madai kwamba “kwa Mungu yote yawezekana.”


E. Mungu alichoka na kupumzika
(Mwanzo 2:2; Kut. 20:11) – Biblia inasema Mungu alichoka siku ya saba, lakini Qur’an (50:38) inasema hakuguswa na uchovu.


F. Moshi puani na moto mdomoni
(2 Samweli 22:9) – Je, Mungu kama mtu mwenye hasira ya kibinadamu?


G. Mungu anapanda juu ya Kerubi
(2 Samweli 22:11) – Anaonekana kama anapanda malaika na kuruka angani.


H. Mungu anajuta
(Mwanzo 6:6) – Mungu kuonyesha majuto, sifa ya kibinadamu.


I. Mungu anapigana mieleka
(Mwanzo 32:28) – Yakobo alimshinda Mungu mielekani.


J. Mungu kama mlevi
(Zaburi 78:65) – Anafananishwa na mtu aliyelewa.


K. Mungu huchafua watu kwa samadi
(Malakia 2:3).


L. Mungu mdanganyifu
(Isaya 45:7; 2 Wathes. 2:11; Yer. 20:7) – Biblia humwonyesha Mungu kama mdanganyifu, kinyume na Qur’an (3:54) inayosema Yeye ndiye mbora wa wapangaji.


M. Mungu anamwamuru nabii kutembea uchi
(Isaya 20:2-3) – Nabii Isaya alitembea uchi kwa miaka mitatu. Qur’an (7:28) inasema: “Allah haamrishi machafu.”




➡️ Hitimisho: Biblia inampa Mungu sifa za kibinadamu na hata za fedheha. Qur’an humwonyesha Mwenyezi Mungu kuwa wa milele, asiyechoka, asiyejuta, na asiyeamrisha maovu.
 
Ukishaona kumekuwa na haja ya kumuomba kitu Allah tu, ujue huo nao ni ushahidi kuwa Allah hayupo.

Allah angekuwapo asingesubiri kuombwa kitu kizuri, angekupa kabla hujaomba.

Na kitu kibaya hata asingekupa nafasi ya kukiomba.

Wewe huna akili ndio ukaandika hivyo au tuthibitishie kuwa unayo akili
 
Sio kila mtu mwepesi, Mimi ukiniombea ALBADIL inakurudia

Je ukiomba hawa watakatifu mashoga , dua yako inakubalika ?

1756780637336.jpeg



Catholic Gay saints

Sergius and Bacchus​

 
Ndiyo umalizie Kwa kulia mkuu 😭😭
Yani ni huzuni chief, adhabu ya watu wanaofanya ushirikina ni mbaya mno mungu ametoa angalizo kwa watu hao mala nyingimno kwenye maandiko matakatifu na kilichonifanya ni umie zaidi nikwamba waliofanya hayo ni watu wanaofahamu zaidi izo habari kuliko.
 
Kuna watu wanazidi kupigilia msumari tushindwe kutengenisha dini ya warabu na ushirikina..sa hapo unatengenishaje..emb mwenye bulldoze au greda aje atengenishe vinegandana mno
 
Ni rahisi sana kuusema Uislam kama unafanya hoja za upande mmoja au upande unaoshabikia (selective reasoning)
Uislam haupendezewi na uchawi ila baadhi ya mashehe wanatumia vibaya vitabu kibiashara, siyo kila kiarabu ni Quran
ni sawa tu na amri 10 za mungu na bado watu wanaua, kusengenya, kuiba nk na hapo wewe mwenyewe unakiuka amri ya mungu wako kwa kuushuhudia Uislam (jirani yako) uongo!

Huo uchawi haukuanza na uislam , tangu enzi za tawala za kale za kigiriki, warumi na siyo kwamba huko kwengine hakuna , la sivyo kina Mwamposa na kIna Gwajina na kina Kakobe kabla yao na wengineo wasingekuwa wanayo mapepo ambayo ni uchawi tu. Mckenzie hapo Shakahola ,Kenya ameua watu kwa kigezo cha dini, ni religious cult tu, siyo dini inavyosema lakini hailaumiwi dini yake!
Wewe mwenyewe unajidai hurogeki maana yake na wewe ni mchawi tu!
Ulaya mpaka leo wanaita superstitious beliefs na hata wachezaji mpira unawaona wengine vitendo vya kishirikina wanafanya hadharani wakianza michezo na wengine wanakiri hata jinsi wanavyosherehekea

Huko kwengine kwa wa-kuristo kuna mambo mengi tu yaliyosababisha Ukatoliki na Protestant mf umungu wa Yesu ( kumuua mungu wenu kwa mijeledi na misumari msalabani)na utata wa utatu wa mungu, nafasi ya bikra maria, ndoa , ubatizo, sakrament, uongozi wa kanisa, ndoa za jinsia moja, uokovu na mengine mengi yamesababisha na kuwa na biblia zaidi ya 80 wakati Quran imebaki ile ile na kila sehemu duniani inasomwa kwa lugha 1 tu.

Wewe mwenyewe ni msabato na unamkana hata "mwanzilishi" wa dini yako Ellen White na mada zote zinasohusu usabato unajifanya huzioni kwa kuwa unajua hao wanaokushabikia hauko nao na dini yenu na unahangaika na usilam na waislam

Uislam upo na utaendelea kushamiri licha ya upinzani na vita vyovyote dhidi yake tangu enzi na enzi kuanzia kipindi cha Muhammad kuanzia ndani ya familia yake mpaka leo hiii una wafuasi zaidi ya robo ya watu wote duniani yaani, kwa kila watu wanne, 1 ni mwislam na namba inazidi kuongezeka huko kwa kukataa kuzaa kuendekeza liwati

UKiwa na Emotional Intelligence hivi vitu utaachana navyo
 
Back
Top Bottom