TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

TANZIA Sheikh Rashid Njuki afariki dunia. Inadaiwa alisomewa Albadil

Hata hili nalo la kupinga ?

Nani asiyejua Quran Inatumika kwenye shirk ?

Video hiyo watu wanatumia Quran

1756742685482.jpeg
 
Hata hili nalo la kupinga ?

Nani asiyejua Quran Inatumika kwenye shirk ?

Video hiyo watu wanatumia Quran
Nan kabisha kama haitumik?

Mbna unakimbia hoja, nikuambia maandiko yote kuanzia tanakh, biblia, Quran, sutras, vedras nk zote zzinatumika kweny ushirikina.

Sasa bisha kwahoja acha kutanguliza chuki
 
Hakuna ,lakin jiulize hasa uislamu ambao unabagaza Hadi historia iliyopo

Angalia Quran inavyotumika kwa shirk ,

Kwahiyo kwenye hizi dini inahitajika akili kuliko hisia
sawa mkuu
 
Nan kabisha kama haitumik?

Mbna unakimbia hoja, nikuambia maandiko yote kuanzia tanakh, biblia, Quran, sutras, vedras nk zote zzinatumika kweny ushirikina.

Sasa bisha kwahoja acha kutanguliza chuki
Nilitegemea utupe ushuhuda wa Biblia au Tanakh kutumika na waganga

Mimi na ushahidi Quran inatumiwa na wanganga ,

Video tu niliyoweka hapo inaonesha

Ukitaka nakupa na Aya au sura wanazotumia kurogea

Sasa leta ushahidi,Mimi nimeanza na hiyo video
 
Uislamu ni utapeli kama utapeli mwingine ,

Mazinge alipiga kelele kuhusu MWAMPOSA anavyotapeli watu kumbe na yeye alikuwa anaona wivu

Leo mazinge anauza mafuta ,maji, wanafukia uchawi usiku, asubuhi wanaufukua wanaibia watu pesa

Anamtumia kijana wake Sheikh Sharif firdaus
Kwani mazinge ndio aliekuja na uislam?
 
Sheikh maarufu Rashid Njuki amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari. Tukio hili limetikisa jamii ya Kiislamu nchini na kuibua maswali mazito baada ya kusambaa kwa sauti na ushuhuda kwamba Sheikh huyo alifanyiwa Albadil (Dua ya mabaya) na baadhi ya wenzake waliokuwa wakipingana naye.

Hapa nitaweka video 👇👇
View attachment 3460715

Katika sauti hiyo, Sheikh Njuki mwenyewe alieleza wazi wazi kuwa alifanyiwa Dua maalum iliyolenga apate ajali ili taasisi yake ya Manasik ife. Na kwenye hiyo video Kuna mmoja alifanikiwa kuingia Dua iliposomwa na akarekodi.

Hali hii imechochea hisia kali mitandaoni na mijadala mikubwa kuhusu nafasi ya maombi ya mabaya ndani ya dini hii, nimewahi kuleta sana masomo na makala kuhusu hii dini inayotumia Majini kuua ,n k

Sheikh Njuki amezikwa leo jioni katika Mkoa wa Manyara mara baada ya Swala ya Magharibi, kwa wingi wa waumini, ndugu na marafiki waliomiminika kumuaga safari yake ya mwisho.

Mazishi yake yameacha simanzi kubwa, huku wengi wakitafakari kauli yake ya mwisho kuhusu Dua aliyosomewa, ambayo leo imetimia kwa njia ile ile aliyotabiriwa ( ajali ya gari.)


TAASISI YA MANASIK

Taasisi ya Manasik, iliyoanzishwa na Sheikh Njuki, ilikuwa na jukumu kubwa la kufundisha Waislamu taratibu za Hija na Umra kwa vitendo.

Ilitoa elimu kwa waumini wanaojiandaa kuelekea Makka, ikiwafundisha namna ya kutekeleza ibada mbalimbali kama tawaf, sa’i, wukufu Arafah na kurusha mawe (jamaraat),

Ilikuwa ikitambuliwa kama kituo maalum cha semina, mihadhara na mafunzo ya Hija kwa njia rahisi na za kisasa.

Kwa muda mfupi tu, taasisi hii ilianza kupata umaarufu mkubwa, ikivutia waumini kutoka maeneo mbalimbali nchini., huyu jamaa akaanza kupata pesa ,kwahiyo chanzo ni CHUKI


KWANINI ILIPIGWA VITA?

1. Wivu na Ushawishi Umaarufu wa Sheikh Njuki na taasisi yake ulionekana tishio kwa madrasa na taasisi nyingine zilizokuwa zikijihusisha na elimu ya Hija na Umra.,(kumbuka hijja na Umra ni biashara za watu ,nishaeleza sana Kuna Uzi nilileta Mods wakauondoa ,nilionesha jinsi watu wanavyopiga pesa kwa hii biashara ,jinsi Waarabu wanavyoingiza mabilion na mabilion kupitia mfuko wa PIF)


2. Tofauti za Kiiitikadi – Wapo masheikh na walimu waliokuwa na mitazamo tofauti ya kifiqhi. Tofauti hizo zilipelekea kumtazama kama mpinzani na sio mshirika.,


3. Hofu ya Kupoteza Wafuasi – Kadri waumini walivyoelekea kwenye Manasik, baadhi ya viongozi wengine waliamini kuwa ushawishi wao na nafasi zao kijamii vitadhoofika.,Kumbuka hii ni biashara kama biashara nyingine ,hivo wanaibiana wateja(maamuma)


4. Fitna na Mashindano – Badala ya mshikamano, chuki binafsi na mashindano ya kijamii yakawa chanzo cha maombi ya mabaya. Hatimaye Sheikh Njuki akajikuta akifanyiwa Albadil Dua ya kumuombea apate ajali ili kuua taasisi yake.


Pumzika kwa Amani Sheikh Njuki
Ina maana Ahiyo ALBADIR inaua tu bila sababu au bila kosa.

Ukiniombea dua mbaya nami sijakukosea itanidhuru vipi.

Au ni ushirikina. Kwasababu UISLAM na Kuran yao ni ushirikina mtupu.. Kitabu cha AYA ZA SHEITWANI. HILI NINA USHAHIDI NA NILIJITIDHISHA PASIPO SHAKA. Kuran ni kitabu cha aya za kuita majini.
 
Huenda siku yake ilikuwa imefika!
Wangapi wameombewa albadili lakini bado wanadunda mitaani?
 
Neno Allah ni neno la kiarabu,linaaanya Mungu,hata biblia za kiarabu,limeandikwa jina hilo kuwa makini.Ni sawa na Kusema God(english),Kwa hiyo fala ni wewe,usiyejua kama Mungu anaitwa majina tofauti katika Lugha tofauti.
Acha propaganda. allah ni mungu wa waislamu
 
Kwa binadamu tulivyo hasa wabongo utaona shekhe wa tanga atakavyoongeza wateja sasa!
 
Sijawahi ona Mungu mwenye roho mbaya kaama wanaoabudu hao jamaa wao muda wote nikuombea wao mabaya.. japokuwa hii stori ni chai
 
Nilitegemea utupe ushuhuda wa Biblia au Tanakh kutumika na waganga

Mimi na ushahidi Quran inatumiwa na wanganga ,

Video tu niliyoweka hapo inaonesha

Ukitaka nakupa na Aya au sura wanazotumia kurogea

Sasa leta ushahidi,Mimi nimeanza na hiyo video
Unaotaka ushahid gani?

Kama niliosema uongo si useme nadanganya hapahap.

Kama uwezi pinga kwa hoja bas ww ni maamuma tu huna ujualo kweny dini uliotoka na ulioenda pia

Ushirikina upo dunia nzima toka enzi na enzi na wanatumia maandishi matakatifu vice versa kabla hata ya kuja Quran.
 
Sio kila mtu mwepesi, Mimi ukiniombea ALBADIL inakurudia
Mkuu huna utakatifu huo watu hawajakuamulia tu

Kwanza hakuna albadir ya kumuombea mtu mabaya huo ni ushirikina.

Pia haohao washirikina wakikuamulia wiki umalizi danganya haohao maamuma wenzio
 
Nimesikiliza hiyo albadili nikajikuta nacheka kwa sauti. Kumbe ni mambo ya kiwaki hivi ndo huwa albadil, mtu anamuimbea mwenzake asahau sahau, asipendwe na viongozi wa kisiasa😂😂😂

Hakianan albadili ni kuwaga
Ni uchawi tu kama uchawi mwingine
 
Back
Top Bottom