Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa Majini, je ni mkweli ama ni muongo?

Habari wadau.

Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa majini.

Je, ni mkweli ama muongo?


View: https://m.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk
yaani kuna majini wema? na kuna majini hawataenda motoni? na moto haukuumbiwa majini? kwamba hata hapo walipo wapo majini? wanaswali pamoja nao? Mungu awasaidie. Mungu mtakatifu hawezi kuchangamana na majini. mungu rafiki wa majini ni shetani sio Mungu, fungukeni macho, mmepoteza mchana kweupe.
 
yaani kuna majini yanamcha alllah? ndio maana huwa tunasema mungu wenu ni tofauti na Mungu wetu. allah sio Mungu. ni kitu kingine kabisa.
Vipi kuhusu wale mapepo walio muita Yesu " wewe ni mwana wa Mungu" tofauti yao na wakristu ni ipi? Maana hata wakristu wana amini Yesu ni mwana wa Mungu
 
Vipi kuhusu wale mapepo walio muita Yesu " wewe ni mwana wa Mungu" tofauti yao na wakristu ni ipi? Maana hata wakristu wana amini Yesu ni mwana wa Mungu
mapepo yale Yesu aliyatreat kama mashetani na aliyafukuza toka kwa yule mtu. majini na aina zote za mashetani ni machafu na sio mazuri, shetani haji ila kuua kuchinja na kuharibu ndivyo Yesu alivyosema. na Yesu aliyakemea na kuyafukuza ili yasiendelee kumdhuru mtu yule, Yesu hakuyaonea huruma na hakuchangamana nayo kuyaona kama ni mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…