FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tena sana. Umejuwaje mambo hya Makkah? Hodari sana wewe.mAkkah mnafuga majini?
Wewe unaishi wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena sana. Umejuwaje mambo hya Makkah? Hodari sana wewe.mAkkah mnafuga majini?
Na wewe unafuga majini?Tena sana. Umejuwaje mambo hya Makkah? Hodari sana wewe.
Wewe unaishi wapi?
Kifungu gani hiko mkuu katika bible kinasema hivyo ya kuwa alienda kuzimu kuzihubiria injili roho za kuzimu?, ama hadithi za alfu lela ulelaVipi Yesu alipo kufa alienda kuzimu kufanya nini? Bible inasema alienda kuzihubiria injili roho za kuzimu . Ni zipo hizo roho za kuzimu? Sio majini?
1 Petro 3:18 - 20 18 For Christ also suffered once for sins, the righteous for the unrighteous, that he might bring us to God, being put to death in the flesh but made alive in the spirit, 19 in which he went and proclaimed to the spirits in prison, 20 because they formerly did not obey, when God’s patience waited in the days of Noah, while the ark was being prepared, in which a few, that is, eight persons, were brought safely through water [ESV].Kifu
Kifungu gani hiko mkuu katika bible kinasema hivyo ya kuwa alienda kuzimu kuzihubiria injili roho za kuzimu?, ama hadithi za alfu lela ulela
Hujakielewa hiki kifungu, umekitafsiri kama kilivyo ilhali sio1 Petro 3:18 - 20 18 For Christ also suffered once for sins, the righteous for the unrighteous, that he might bring us to God, being put to death in the flesh but made alive in the spirit, 19 in which he went and proclaimed to the spirits in prison, 20 because they formerly did not obey, when God’s patience waited in the days of Noah, while the ark was being prepared, in which a few, that is, eight persons, were brought safely through water [ESV].
anaposema aliwaendea roho walio kifungoni, kifungo pekee kilichopo ni kuzimu, mbinguni (kama wangekuwa walikufa katika Mungu, kule waliko eliya musa na wengine) sio kifungoni. raisi sana kuelewa. kifungoni gani alikowaendea kuwahubiria kama sio kuzimu?Hujakielewa hiki kifungu, umekitafsiri kama kilivyo ilhali sio
Habari wadau.
Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa majini.
Je, ni mkweli ama muongo?
View: https://m.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk
Kwani shetani hamtambui Mungu? Walimwita Yesu mwana wa Mungu walimtambua na akayaamulu yatoke.Vipi kuhusu wale mapepo walio muita Yesu " wewe ni mwana wa Mungu" tofauti yao na wakristu ni ipi? Maana hata wakristu wana amini Yesu ni mwana wa Mungu
Mswalie mtume sheheee!hata shetani aliumbwa, ila aliasi, na aliasi na washirika wake ambao ni majini ambayo wewe unaswali pamoja nayo. kuna kumswalia Mungu hapo?
No wonder, your avatar says it all!Inawezekana kabisa
Mbona china wamejenga mpaka hoteli majini..
Sembuse makkah hapo..
Na kuna kiwanja cha tenes hapo hapo makkah nazani ni cha majini.
Kipo ndani ya maji kabisa