Wajinga ndiyo waliwao.
Soma.
Baada ya kuusoma ujumbe huu nimewaza mengi sana. Yawezekana ndugu zetu wanafukuana sana na hawasemi kufikia mpaka hatua ya kulivalia njuga hili suala, mpaka kuanza kuendesha kampeni kwa njia ya jumbe fupi za maneno.
Mjumbe huu nilipokewa kutoka kwa mdada jina linaanza na Z.. nanukuu
"Ukiwa kama mwislam mwenzangu leo hiii nakuhusia na kuihusia nafsi yangu kuto kujaribu kuwa miongoni mwa kuingilia mtu kinyume na maumbile (UFIRAJI)
KWANI SISI SOTE TUNAJUA ADHABU YA ATAKAYE FANYA HIVYO NI KUULIWA
SASA SIJUI WEWE MWENZANGU KAMA UNAFANYA HIVYO UTAKUWA MGENI WA NANI HAPO AKHERA KAMA KWA DUNIANI TUU ADHABU NI YA KIFO 😭
TUKUMBUKE PIA HAUTAFUFULIWA NA UMMA WA MUHAMMAD BALI NA ULE UMMA ULIO ANGAMIA😔
BADILIKAA SASA BADO WAKATI UNAO
KAMA HUAMINI NGOJEA UFE 😒
Mtumie na muislam mwenzio unae mpenda ili ajirekebishe / asiingie katika mkumbo huo
na bold tena
Mtumie na muislam mwenzio unae mpenda ili ajirekebishe / asiingie katika mkumbo huo
Mwisho wa nukuu
Waislam wanafukuana na amsemi
C&P
Sa 7 mchana