LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Vipi Yesu alipo kufa alienda kuzimu kufanya nini? Bible inasema alienda kuzihubiria injili roho za kuzimu . Ni zipo hizo roho za kuzimu? Sio majini?mapepo yale Yesu aliyatreat kama mashetani na aliyafukuza toka kwa yule mtu. majini na aina zote za mashetani ni machafu na sio mazuri, shetani haji ila kuua kuchinja na kuharibu ndivyo Yesu alivyosema. na Yesu aliyakemea na kuyafukuza ili yasiendelee kumdhuru mtu yule, Yesu hakuyaonea huruma na hakuchangamana nayo kuyaona kama ni mema.