Vipi Yesu alipo kufa alienda kuzimu kufanya nini? Bible inasema alienda kuzihubiria injili roho za kuzimu . Ni zipo hizo roho za kuzimu? Sio majini?mapepo yale Yesu aliyatreat kama mashetani na aliyafukuza toka kwa yule mtu. majini na aina zote za mashetani ni machafu na sio mazuri, shetani haji ila kuua kuchinja na kuharibu ndivyo Yesu alivyosema. na Yesu aliyakemea na kuyafukuza ili yasiendelee kumdhuru mtu yule, Yesu hakuyaonea huruma na hakuchangamana nayo kuyaona kama ni mema.
Wanaoenda kuzimu wote ni majini?Vipi alipo kufa alienda kuzimu kufanya nini? Bible inasema alienda kuzihubiria injili roho za kuzimu . Ni zipo hizo roho za kuzimu? Sio majini?
Kumbe ni kina nani vile?Wanaoenda kuzimu wote ni majini?
Vipi mkuu, una la kwako moyoni nin?Habari wadau.
Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa majini.
Je, ni mkweli ama muongo?
View: https://m.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk
hao walikuwa ni roho zilizoshikiliwa na shetani za watu ambao walikufa kabla yeye hajaja, ili siku ya hukumu wasije kujitetea kuwa hawakusikia injili kwasababu walikufa kabla Yesu hajaja, kwasababu siku ya mwisho yeyote asiyemwamini na kumpokea Yesu atahukumiwa. hata wewe utahukumiwa kwa ugumu wa moyo wako kumkataa Yesu na kumkubali mtu aliyeelekeza kushirikiana na majini maishani.Vipi Yesu alipo kufa alienda kuzimu kufanya nini? Bible inasema alienda kuzihubiria injili roho za kuzimu . Ni zipo hizo roho za kuzimu? Sio majini?
WapoSwali tu?majini wapo au hawapo
Duniani
Ova
Just like that?hao walikuwa ni roho zilizoshikiliwa na shetani za watu ambao walikufa kabla yeye hajaja, ili siku ya hukumu wasije kujitetea kuwa hawakusikia injili kwasababu walikufa kabla Yesu hajaja, kwasababu siku ya mwisho yeyote asiyemwamini na kumpokea Yesu atahukumiwa. hata wewe utahukumiwa kwa ugumu wa moyo wako kumkataa Yesu na kumkubali mtu aliyeelekeza kushirikiana na majini maishani.
Huna ujualo... huijui hata hiyo dini yako, wachana na mimi sina elimu ya kuungaunga kama wewe.na wewe unaamini kuna majini wazuri na wana azini?
amekosea,Habari wadau.
Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa majini.
Je, ni mkweli ama muongo?
View: https://m.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk
Hata wewe kwa ulozi wako safari yako ni kuzimu sio majini peke yaoKumbe ni kina nani vile?
Vipi Yesu alipo kufa alienda kuzimu kufanya nini? Bible inasema alienda kuzihubiria injili roho za kuzimu . Ni zipo hizo roho za kuzimu? Sio majini?
Aisee sawa ndugu Deputy JesusHata wewe kwa ulozi wako safari yako ni kuzimu sio majini peke yao
Asante sana ndugu deputy mudiAisee sawa ndugu Deputy Jesus
Shida ni kwamba mtu huuliza swali kwa kejeli, na huwa ashaanda jibu analolitaka yeye, ukipa jibu sahihi huwa halitaki na wala yeye hana elimu juu ya hilo jambo. Pia na ukimuuliza yeye hawezi jibu swali lako.amani itavurugika kwa huu uzi kati ya israel na palestina ya kwa mfuga mbwa
Mungu wenu ni yupi?mungu wenu ni tofauti na Mungu wetu.
Sasa kwa akili yako unafikiri majini hawafanyi ibada ? Wapo majini wanafanya ibada na wapo majini waliokengeuka kama unavyoona binaadamu ambao hawafuati maamlisho ya mungu hata uli msikiti wa al aqsa unaogombaniwa na israel na palestine history yake umejengwa na majini kwa amrii ya nabii suleimani aliepewa uwezo huo na mungu kuweza kuwatumikisha majini anavyotakaHabari wadau.
Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa majini.
Je, ni mkweli ama muongo?
View: https://m.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk
Ni kweli kabisa.Habari wadau.
Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa majini.
Je, ni mkweli ama muongo?
View: https://m.youtube.com/watch?v=jPi5CicFiyk