Sheikh Rusaganya anasema Makkah kuna msikiti wa Majini, je ni mkweli ama ni muongo?

Asituvuruge Sasa Hivi Aache Kwanza Tutulie
 
Kifu
Vipi Yesu alipo kufa alienda kuzimu kufanya nini? Bible inasema alienda kuzihubiria injili roho za kuzimu . Ni zipo hizo roho za kuzimu? Sio majini?
Kifungu gani hiko mkuu katika bible kinasema hivyo ya kuwa alienda kuzimu kuzihubiria injili roho za kuzimu?, ama hadithi za alfu lela ulela
 
Kifu

Kifungu gani hiko mkuu katika bible kinasema hivyo ya kuwa alienda kuzimu kuzihubiria injili roho za kuzimu?, ama hadithi za alfu lela ulela
1 Petro 3:18 - 20 18 For Christ also suffered once for sins, the righteous for the unrighteous, that he might bring us to God, being put to death in the flesh but made alive in the spirit, 19 in which he went and proclaimed to the spirits in prison, 20 because they formerly did not obey, when God’s patience waited in the days of Noah, while the ark was being prepared, in which a few, that is, eight persons, were brought safely through water [ESV].
 
Hujakielewa hiki kifungu, umekitafsiri kama kilivyo ilhali sio
 

Attachments

  • 1697913755281.jpg
    306.2 KB · Views: 1
Hujakielewa hiki kifungu, umekitafsiri kama kilivyo ilhali sio
anaposema aliwaendea roho walio kifungoni, kifungo pekee kilichopo ni kuzimu, mbinguni (kama wangekuwa walikufa katika Mungu, kule waliko eliya musa na wengine) sio kifungoni. raisi sana kuelewa. kifungoni gani alikowaendea kuwahubiria kama sio kuzimu?
 
Vipi kuhusu wale mapepo walio muita Yesu " wewe ni mwana wa Mungu" tofauti yao na wakristu ni ipi? Maana hata wakristu wana amini Yesu ni mwana wa Mungu
Kwani shetani hamtambui Mungu? Walimwita Yesu mwana wa Mungu walimtambua na akayaamulu yatoke.
 
hata shetani aliumbwa, ila aliasi, na aliasi na washirika wake ambao ni majini ambayo wewe unaswali pamoja nayo. kuna kumswalia Mungu hapo?
Mswalie mtume sheheee!
 
Sheikh hasemi uongo kwenye Hilo, lazima itakuwa Kweli upo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…