Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.

Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.

Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
 
View attachment 2948976
Ukichukua clip kwa ufupi namna hii huwezi kupata maana ya hoja yake sidhani kama kuna kitu kama hicho
 
Jifunze kufuatilia kitu kwa umakini , huyo Sheikh kaamaanisha kuwa watu peponi watakuwa katika umbile jipya kwa maana mtu hata akiwa mfupi atakuwa umbo la urefu , mbaya kuwa umbile na sura ya kuvutia ,kinyongo kuwa roho safi vinyongo vyote kutolewa nk.. hapo amezungumza kwa njia ya utani tu.
 
Alichokosa kufafanua hapo ni kuwa, watenda mema watakao ingia Peponi, hawatakuwa na miili ya hapa Duniani bali Watapewa miili mipya na maumbo mapya anayoyajua Muumba wa Mbingu na Ardhi
 
Alichokosa kufafanua hapo ni kuwa, watenda mema watakao ingia Peponi, hawatakuwa na miili ya hapa Duniani bali Watapewa miili mipya na maumbo mapya anayoyajua Muumba wa Mbingu na Ardhi
Kwahyo maumbile anayoyajua mungu hko mbinguni ni kimo kirefu au kimo kifupi alikosea ktk uumbaji au siyo kazi yke
 
Back
Top Bottom