Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
peponi watu watakuwa warefu kama watu wa zama zilizopita ndiyo acho maanisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa, nilitakaisikitike kabisa kwamba zile bikra nisiende kuzikaza!Jifunze kufuatilia kitu kwa umakini , huyo Sheikh kaamaanisha kuwa watu peponi watakuwa katika umbile jipya kwa maana mtu hata akiwa mfupi atakuwa umbo la urefu , mbaya kuwa umbile na sura ya kuvutia ,kinyongo kuwa roho safi vinyongo vyote kutolewa nk.. hapo amezungumza kwa njia ya utani tu.
Hii kali ya mwaka, hadithi za mitume ni tatahuyu sheik kinacho msumbua fangasi za ubongo
Mmeanza kumsaidia kutoa tafsiriAlichokosa kufafanua hapo ni kuwa, watenda mema watakao ingia Peponi, hawatakuwa na miili ya hapa Duniani bali Watapewa miili mipya na maumbo mapya anayoyajua Muumba wa Mbingu na Ardhi
Hizi dini ni ukichaaSheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.
Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.
Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
View attachment 2948976
Na umeona wafupi walivyochachamaa na Koment zao fupi fupi.Ugomvi wa ngumi huu
LAKINI AMENUKUU ANDIKO, AJAJISEMEA TU, AU KUOKOTEZA NENO TU MITAANI, KWENYE HIVI VITABU VYETU VYA KIIMANI, PIA TUJIONGEZE.huyu sheik kinacho msumbua fangasi za ubongo
ni upuuzi mtupu kuamini hadithi hizoHii kali ya mwaka, hadithi za mitume ni tata
Usiseme upuuzi, kwani kuna HIKMA NDANI YAKE!ni upuuzi mtupu kuamini hadithi hizo
adriz na Accumen Mo njooni huku mutu wenu mhaya muislamu.Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.
Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.
Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
View attachment 2948976
Mtu akifa kafiri hatoonja hizo bikra , peponi kila mtu anakuwa katika umbile jipya zuri tena la ujana ambao mtu atafurahia hata akiwa amekufa Mzee ,mlemavu nk anakuja upya katika uzuri usio wa kifani na starehe za aina mbalimbali ambazo hakuwahi kuona ,kusikia Wala kudhani.Hapo sawa, nilitakaisikitike kabisa kwamba zile bikra nisiende kuzikaza!
Akifa atarefuka na kuwa na sifa za kuingia peponiSteve Nyerere ni motoni moja Kwa moja
Ni kweli mkuu?Mtu akifa kafiri hatoonja hizo bikra , peponi kila mtu anakuwa katika umbile jipya zuri tena la ujana ambao mtu atafurahia hata akiwa amekufa Mzee ,mlemavu nk anakuja upya katika uzuri usio wa kifani na starehe za aina mbalimbali ambazo hakuwahi kuona ,kusikia Wala kudhani.
Akifa atarefuka na kuwa na sifa za kuingia peponi
Basi alikuwa afafanuwe vizuri. Asiseme ni marufuku.peponi watu watakuwa warefu kama watu wa zama zilizopita ndiyo acho maanisha