The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Ukichukua clip kwa ufupi namna hii huwezi kupata maana ya hoja yake sidhani kama kuna kitu kama hichoSheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.
Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.
Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
View attachment 2948976
Wafupi kiimaniUkichukua clip kwa ufupi namna hii huwezi kupata maana ya hoja yake sidhani kama kuna kitu kama hicho
Amemlenga bwana yule.Sasa sijui Kuna uhusiano gan kati ya kimo na pepo,
Muasisi wa dini yao tu muongomuongo na visa vya uongo vimejaa kijitabu chao. Kwahiyo haishangazi.Sasa sijui Kuna uhusiano gan kati ya kimo na pepo,
😂😂😂Muasisi wa dini yao tu muongomuongo na visa vya uongo vimejaa kijitabu chao. Kwahiyo haishangazi.
Bwana yupi shekheAmemlenga bwana yule.
Muasisi hajui kusoma wala kuandika🤣😂🥶Muasisi wa dini yao tu muongomuongo na visa vya uongo vimejaa kijitabu chao. Kwahiyo haishangazi.
Kwahyo maumbile anayoyajua mungu hko mbinguni ni kimo kirefu au kimo kifupi alikosea ktk uumbaji au siyo kazi ykeAlichokosa kufafanua hapo ni kuwa, watenda mema watakao ingia Peponi, hawatakuwa na miili ya hapa Duniani bali Watapewa miili mipya na maumbo mapya anayoyajua Muumba wa Mbingu na Ardhi
Uislamu ni deen ya ajabu sana itoshe kuhitimisha hivyo.Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi.
Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule.
Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
View attachment 2948976
Mbona umeludi kulekule Kwa shekhe wko''kwa hayo maneno yko inamaana kimo kifupi siyo halali peponi"kaamaanisha kuwa watu peponi watakuwa katika umbile jipya kwa maana mtu hata akiwa mfupi atakuwa umbo la urefu ,