GE2025 Sheikh Rusaganya: Rais Samia, HAO MBWA kuna waliowatia ujeuri hadi wanakutukana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Shekh kijambio huyo
 
Shekh kijambio huyo
 
Hivi kwa hawa jamaa zetu mtu akijua tu Kukariri Kuran tu anaitwa sheikh ?
 
Basi yeye atakuwa ni nguruwe
 
Hao mbwa kaamanisha wakristo wote..hatari sana
 
Hii ndio misheikh inadhalilisha dini, inaonekana dini yetu ni ya MAJUHA.
Hawa mashekhe wa mchongo...ila wasijimalize kuna maisha baada ya leo wawe hata wanafikiria. Shida iliyokuepo now kila mtuashajua akimpaka rangi Mh basi fuko litajaa.
 
Samia ameishika nchi kwa uthabiti wa hali ya juu! Kwa upumbavu uliopo angekua lege lege tungeshasambaratika

..kwa utovu wa nidhamu na kimaadili unaoendelea sidhani kama ameishika nchi.
 
Hawa mashekhe wa mchongo...ila wasijimalize kuna maisha baada ya leo wawe hata wanafikiria. Shida iliyokuepo now kila mtuashajua akimpaka rangi Mh basi fuko litajaa.
Sahihi, wanachezq na akili yake.
 
Sheikh anaamini kwamba watu humchukia rais na sababu ni ubaguzi kwa maana ya kisa rais ni muislamu, na hao ndio kawafananisha na mbwa.

Mimi najiuliza atakapo kuja rais ambaye si muislamu baada ya Samia sijui masheikh watasemaje, maana sasa wanaonyesha waziwazi kwamba wanamuunga mkono rais Samia kwa sababu ni muislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…