AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ndio hivyoKwa ufupi tu ukiwa kiongozi wa dini mwenye vinasaba vya ukatili na akili zako ni fyatu ndio unaonekana ni mtu wa maana kwenye serikali hii dhalimu ya samuya.

Shekh kijambio huyoNaona Sheikh anaendelea kujimaliza tu!
Amezungumza kwa namna ya methali sana moja akisema kwamba mbwa hata ukivalisha mkufu atabaki tu kuwa mbwa na mwingine kasema hao mbwa kuna watu wamewapa kiburi cha kukutukana wewe Rais Samia.
Akamalizia kusema mama umewafanyia hisiani na wanajijua wenyewe lakini ni mbwa. Pia Mwenyezi Mungu amlinde Rais wetu ndicho kamaliza kusema
Sasa hao mbwa ni wakina nani? Na wanawapa jeuri za kumtukana ni wakinani? Na je ni kweli Samia anatukanwa au anaambiwa ukweli?
View attachment 3495302

Hivi kwa hawa jamaa zetu mtu akijua tu Kukariri Kuran tu anaitwa sheikh ?Naona Sheikh anaendelea kujimaliza tu!
Amezungumza kwa namna ya methali sana moja akisema kwamba mbwa hata ukivalisha mkufu atabaki tu kuwa mbwa na mwingine kasema hao mbwa kuna watu wamewapa kiburi cha kukutukana wewe Rais Samia.
Akamalizia kusema mama umewafanyia hisiani na wanajijua wenyewe lakini ni mbwa. Pia Mwenyezi Mungu amlinde Rais wetu ndicho kamaliza kusema
Sasa hao mbwa ni wakina nani? Na wanawapa jeuri za kumtukana ni wakinani? Na je ni kweli Samia anatukanwa au anaambiwa ukweli?
View attachment 3495302
Basi yeye atakuwa ni nguruweNaona Sheikh anaendelea kujimaliza tu!
Amezungumza kwa namna ya methali sana moja akisema kwamba mbwa hata ukivalisha mkufu atabaki tu kuwa mbwa na mwingine kasema hao mbwa kuna watu wamewapa kiburi cha kukutukana wewe Rais Samia.
Akamalizia kusema mama umewafanyia hisiani na wanajijua wenyewe lakini ni mbwa. Pia Mwenyezi Mungu amlinde Rais wetu ndicho kamaliza kusema
Sasa hao mbwa ni wakina nani? Na wanawapa jeuri za kumtukana ni wakinani? Na je ni kweli Samia anatukanwa au anaambiwa ukweli?
View attachment 3495302
Tushazoea hizi, ref "kenge wa nje na kenge wa ndani"..Msemaji wa Serikali na Katibu Mwenezi wa Ccm wanapaswa kulaani kauli ya Shekhe huyu.
Hao mbwa kaamanisha wakristo wote..hatari sanaNaona Sheikh anaendelea kujimaliza tu!
Amezungumza kwa namna ya methali sana moja akisema kwamba mbwa hata ukivalisha mkufu atabaki tu kuwa mbwa na mwingine kasema hao mbwa kuna watu wamewapa kiburi cha kukutukana wewe Rais Samia.
Akamalizia kusema mama umewafanyia hisiani na wanajijua wenyewe lakini ni mbwa. Pia Mwenyezi Mungu amlinde Rais wetu ndicho kamaliza kusema
Sasa hao mbwa ni wakina nani? Na wanawapa jeuri za kumtukana ni wakinani? Na je ni kweli Samia anatukanwa au anaambiwa ukweli?
View attachment 3495302
Shekhee hana marindaAbarikiwe Sana sheikh wetu
Usisahau Kesho kutiki mkuuShekhee hana marinda
Hawa mashekhe wa mchongo...ila wasijimalize kuna maisha baada ya leo wawe hata wanafikiria. Shida iliyokuepo now kila mtuashajua akimpaka rangi Mh basi fuko litajaa.Hii ndio misheikh inadhalilisha dini, inaonekana dini yetu ni ya MAJUHA.
Samia ameishika nchi kwa uthabiti wa hali ya juu! Kwa upumbavu uliopo angekua lege lege tungeshasambaratika
Sahihi, wanachezq na akili yake.Hawa mashekhe wa mchongo...ila wasijimalize kuna maisha baada ya leo wawe hata wanafikiria. Shida iliyokuepo now kila mtuashajua akimpaka rangi Mh basi fuko litajaa.
Una lipi la kumshauri!?Shekh kijambio huyo