TANZIA Sheikh Suleiman Kilemile afariki dunia

إنا لله وإنا إليه راجعون

Allah amsamehe yeye,sisi na wengine waliotangulia.

Amin
 
Umati uliojitokeza kumzika Shekhe unatia simanzi, Hawa wanaume walioshiriki Wana wake zao, Wana watoto, Wana marafiki, hao watoto nao Wana marafiki.

Kwanini tumeifanya Tanzania nchi ya mzaa kwenye afya za watu?

Wapo watu hapo wanaenda kuwaambukiza watu wasio na hati corona....tunataka kuzika Kama ulaya ndipo tujue corona IPO?

Serikali pls waoneeni wananchi huruma, viongozi wa dini waoneeni wannchi huruma,.

TUNAUANA
 
Na nyie mumezidi wakizika watu kumi mnasema kafa kwa corona serikali imeficha wakizika wengi oooh kwa Nini wamezika wengi!!
Mleta mada kwenda zako huko

Tena wewe mwanamke mleta mada una kidomodomo Sana sijui Huna bwana wa kukuoa ndio maana uko hivyo
 
Umati uliojitokeza kumzika Shekhe unatia simanzi, Hawa wanaume walioshiriki Wana wake zao, Wana watoto, Wana marafiki, hao watoto nao Wana marafiki.

Kwanini tumeifanya Tanzania nchi ya mzaa kwenye afya za watu?

Wapo watu hapo wanaenda kuwaambukiza watu wasio na hati corona....tunataka kuzika Kama ulaya ndipo tujue corona IPO?

Serikali pls waoneeni wananchi huruma, viongozi wa dini waoneeni wannchi huruma,.

TUNAUANA
Kama vile kuna watu wanampango waijuao wao utakao wanufaisha wao wa Tz wakiangamia kwa wingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndio mmeomba mzike wenyewe acha mfe
Umati uliojitokeza kumzika Shekhe unatia simanzi, Hawa wanaume walioshiriki Wana wake zao, Wana watoto, Wana marafiki, hao watoto nao Wana marafiki.

Kwanini tumeifanya Tanzania nchi ya mzaa kwenye afya za watu?

Wapo watu hapo wanaenda kuwaambukiza watu wasio na hati corona....tunataka kuzika Kama ulaya ndipo tujue corona IPO?

Serikali pls waoneeni wananchi huruma, viongozi wa dini waoneeni wannchi huruma,.

TUNAUANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umati uliojitokeza kumzika Shekhe unatia simanzi, Hawa wanaume walioshiriki Wana wake zao, Wana watoto, Wana marafiki, hao watoto nao Wana marafiki.

Kwanini tumeifanya Tanzania nchi ya mzaa kwenye afya za watu?

Wapo watu hapo wanaenda kuwaambukiza watu wasio na hati corona....tunataka kuzika Kama ulaya ndipo tujue corona IPO?

Serikali pls waoneeni wananchi huruma, viongozi wa dini waoneeni wannchi huruma,.

TUNAUANA
Hamna picha ya video alafu unataka kuaminisha umma kuna msongamano.
 
Wewe usiende kusali ukiona imejaa waache waende wanaotaka kwenda weww kaa nyumbani
RIP Sheikh. Tuombee kwa mola wetu.
A word or two!
1. Kama hii tabia ya kujaa msikitini eti kwa vile ni mwezi wa toba Mungu atawaeousha na hili janga kuna shida kwa Mapadre na Masheikh wetu. Naona hapa nilipo misikiti inajaa kama vile hakuna corona! Humwambii mtu kitu!

2. Kushindwa kuchukua tahadhali tunazohimizwa nazo na kumtegemea Mungu , ni kumjaribu Mungu na yeye hataki hivyo.

(sijui kafa kwa ugonjwa upi, ila nakuwa na wasiwasi na mfululizo wa vifo hivi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom