Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vile kuna watu wanampango waijuao wao utakao wanufaisha wao wa Tz wakiangamia kwa wingiUmati uliojitokeza kumzika Shekhe unatia simanzi, Hawa wanaume walioshiriki Wana wake zao, Wana watoto, Wana marafiki, hao watoto nao Wana marafiki.
Kwanini tumeifanya Tanzania nchi ya mzaa kwenye afya za watu?
Wapo watu hapo wanaenda kuwaambukiza watu wasio na hati corona....tunataka kuzika Kama ulaya ndipo tujue corona IPO?
Serikali pls waoneeni wananchi huruma, viongozi wa dini waoneeni wannchi huruma,.
TUNAUANA
Umati uliojitokeza kumzika Shekhe unatia simanzi, Hawa wanaume walioshiriki Wana wake zao, Wana watoto, Wana marafiki, hao watoto nao Wana marafiki.
Kwanini tumeifanya Tanzania nchi ya mzaa kwenye afya za watu?
Wapo watu hapo wanaenda kuwaambukiza watu wasio na hati corona....tunataka kuzika Kama ulaya ndipo tujue corona IPO?
Serikali pls waoneeni wananchi huruma, viongozi wa dini waoneeni wannchi huruma,.
TUNAUANA
Hamna picha ya video alafu unataka kuaminisha umma kuna msongamano.Umati uliojitokeza kumzika Shekhe unatia simanzi, Hawa wanaume walioshiriki Wana wake zao, Wana watoto, Wana marafiki, hao watoto nao Wana marafiki.
Kwanini tumeifanya Tanzania nchi ya mzaa kwenye afya za watu?
Wapo watu hapo wanaenda kuwaambukiza watu wasio na hati corona....tunataka kuzika Kama ulaya ndipo tujue corona IPO?
Serikali pls waoneeni wananchi huruma, viongozi wa dini waoneeni wannchi huruma,.
TUNAUANA
RIP Sheikh. Tuombee kwa mola wetu.
A word or two!
1. Kama hii tabia ya kujaa msikitini eti kwa vile ni mwezi wa toba Mungu atawaeousha na hili janga kuna shida kwa Mapadre na Masheikh wetu. Naona hapa nilipo misikiti inajaa kama vile hakuna corona! Humwambii mtu kitu!
2. Kushindwa kuchukua tahadhali tunazohimizwa nazo na kumtegemea Mungu , ni kumjaribu Mungu na yeye hataki hivyo.
(sijui kafa kwa ugonjwa upi, ila nakuwa na wasiwasi na mfululizo wa vifo hivi)