Sheikh wa Mkoa wa Dar ashangazwa na jinsi watu wanavyojipa Uaskofu hovyo hovyo mitaani

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,096
Reaction score
8,234
"Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
 
Huyu jamaa naye mpuuzi tu, hajui kuwa huku uraiani kila muisilamu anajiita sheikh? Mbona hajaliona Hilo,Hadi Mimi mwenyewe sijui vigezo vya mtu kuwa sheikh,au labda ukiwa muisilamu Basi wewe tayari Ni sheikh? Maana hapa kazini kwangu tuna waislamu wawili lakini wote wanaitana sheikh!! Sheikh!!
 
Kunywa maji mengi utulie kivulini.

Halafu ukishatulia, jiulize; hao wanaojiita masheikh kazini kwako wana misikiti yao?
 
Umeongea ukweli sheikh wangu
 
Vipi kuhusu yeye na Usheikh wake alinunua wapi? Vipi ahadi yake kuhusu Mange? Mbona bado anadunda kitaa?

 
Aache kuingilia imani za watu na aheshimu imani za watu
Kila dini inautamaduni wake
Huu utamaduni wa kanisa kumkarisha mtu kuongea siasa muda wa ibada sio sawa
 
Pia usisahau ndevu zilipakwa rangi na kale kakofia ka-kihamza
 
Tuanze na Askofu Gwajima wa Mtaa wa Saba.
 
siyo uongo anaongea kweli ndiyo maana maadili yanapolomoka kama kweli uko commited na uaskofu huwezi kufanya upuuzi bagonza , mwamakula nao ni maaskofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…