MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kwani yeye shida yake nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye yanamuhusu Nini? Mbona anatudhalilisha waislamu,wenye Imani yao walk jiita askofu,shemasi, father na mengine, wewe yanakuhusu alhadi?
Acha kimuhe muhe
Shehee ubwabwaShehe Ponda pekee ndie Shehe wengine ni shehena za mizigo
Huyu jamaa naye mpuuzi tu, hajui kuwa huku uraiani kila muisilamu anajiita sheikh? Mbona hajaliona Hilo,Hadi Mimi mwenyewe sijui vigezo vya mtu kuwa sheikh,au labda ukiwa muisilamu Basi wewe tayari Ni sheikh? Maana hapa kazini kwangu tuna waislamu wawili lakini wote wanaitana sheikh!! Sheikh!!
"Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
![]()
Yuko mwanaccm mwenzake anaitwa Askofu MashimoView attachment 1947368
Kwa hiyo hawa njemba tayari ni maaskofu, haishangazi shehe kupigwa butwaa.....Masanja & Mc Pilipili
Shehe amenena. Wapo wengi kuanzia Gwajima, Mwingira, Mwakesenge, Kakobe, Rwakatare, na majambazi mengine. Hata kwa upande wa waislam wapo akina Mazinge, Ringo, na wengine wengi ambao ni mashehena yaliyojipachika ushehe."Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
![]()
We dawa yako tukusomee Albadiri wewe!Shwein!!Huyu jamaa naye mpuuzi tu, hajui kuwa huku uraiani kila muisilamu anajiita sheikh? Mbona hajaliona Hilo,Hadi Mimi mwenyewe sijui vigezo vya mtu kuwa sheikh,au labda ukiwa muisilamu Basi wewe tayari Ni sheikh? Maana hapa kazini kwangu tuna waislamu wawili lakini wote wanaitana sheikh!! Sheikh!!
Ashaacha kula kitimoto pale mwenge?"Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
![]()