Sheikh wa Mkoa wa Dar ashangazwa na jinsi watu wanavyojipa Uaskofu hovyo hovyo mitaani

Sheikh wa Mkoa wa Dar ashangazwa na jinsi watu wanavyojipa Uaskofu hovyo hovyo mitaani

Hata mimi nashangaa; yaani tz maaskofu ni wengi kuliko raia! Mi nafikiri sasa dini zipigwe marufuku tuishi kiafrika zaidi, maana sasa naona wahuni/ washirikina/majambazi na freemason wanakimbilia/wanajificha kwenye uchungaji/uaskofu/mitume na manabii!
 
siyo uongo anaongea kweli ndiyo maana maadili yanapolomoka kama kweli uko commited na uaskofu huwezi kufanya upuuzi bagonza , mwamakula nao ni maaskofu
Tatizo hayamuhusu aongelee mashehe wa uamsho kuminywa pyumbu gerezani ndio ntamuelewa
 
"Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
E_0DWTkVUAcKmuF
Mh
 
Ajikite kwenye dini yake, ya wenzie awaachie wao wenyewe. Kama na ye anapanda kua Askofu basi aachane na U Sheikh
 
"Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
E_0DWTkVUAcKmuF

Yeye usheikh kapewa na nani huyo mlevi wa Liwati na shirki?
 
Huyu jamaa naye mpuuzi tu, hajui kuwa huku uraiani kila muisilamu anajiita sheikh? Mbona hajaliona Hilo,Hadi Mimi mwenyewe sijui vigezo vya mtu kuwa sheikh,au labda ukiwa muisilamu Basi wewe tayari Ni sheikh? Maana hapa kazini kwangu tuna waislamu wawili lakini wote wanaitana sheikh!! Sheikh!!
Hahhahhhaah kuna jirani yangu anakula kitimoto msikitini anaenda na anaitwa Sheikh
 
Hahhahhhaah kuna jirani yangu anakula kitimoto msikitini anaenda na anaitwa Sheikh
Wapo wengi hao kiongozi, wengi wanaongozwa na njaa, hata hawaamini huyo Mungu wanayemuimba kila siku!! Ishu ndogo tu ya kujiuliza, kulikuwa na sababu gani Gwajima kwenda kugombea ubunge? Kiasi kwamba kwa sasa hata amecompromise mahubiri yake, kila atachosema kanisani kinasikilizwa, akikosea kidogo tu kinahusishwa na siasa na anaanza kushambuliwa na kufokewa na hata watoto wadogo kama Kihongosi
 
mungu wake mwendazake alishakufa.
Kwa masikio yangu nilimsikia akisema mwendakuzimu Ni zaidi ya Mungu. Lkn pia mwendakuzimu Ni zaidi ya mtume mohamed. Uislamu wake tuna Mashaka nao. Ingekua Afghanistan au Pakistan kitendo Cha kumlinganisha mtume na mwendazake kisingemuacha hai .Huyu na Mwanri mungu wao keshatangulia mbele ya haki.
 
Moja Ya sifa zao hawa Maaskofu Wa kujipachika wengi Makanisa yao hutumia viti vya Plastiki.
 
Dini ni uongo, ufisadi na utapeli. Waafrika tuepukane na huu upuuzi wa dini
 
Huyu jamaa naye mpuuzi tu, hajui kuwa huku uraiani kila muisilamu anajiita sheikh? Mbona hajaliona Hilo,Hadi Mimi mwenyewe sijui vigezo vya mtu kuwa sheikh,au labda ukiwa muisilamu Basi wewe tayari Ni sheikh? Maana hapa kazini kwangu tuna waislamu wawili lakini wote wanaitana sheikh!! Sheikh!!
Yeye mwenyewe hana hadhi ya kuitwa Sheikh

Na Kuwa na msikiti...si kipimo cha kielimu kufaa kuitwa Sheikh

Labda kama watakusudia kutumia jina/sifa ya Usheikh kwa maana Mtu Mzima mwenye umri kuanzia miaka 50 kwenda juu......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbon kwa status yako hutakiw kuyaongelea maswala ya din nyingne kwaku yakosoa.
 
Aache kuingilia imani za watu na aheshimu imani za watu
Kila dini inautamaduni wake
Huu utamaduni wa kanisa kumkarisha mtu kuongea siasa muda wa ibada sio sawa
Tangu lini? Mbona viongozi wengi wa CCM huongea siasa makanisani na misikitini, na ndiko hukohuko tulikojulishwa Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, mlitaka mumuone Kariakoo!
 
Back
Top Bottom