Sheikh wa Mkoa wa Dar ashangazwa na jinsi watu wanavyojipa Uaskofu hovyo hovyo mitaani

Kwa mara ya kwanza leo nimemuunga mkono Sheikh Alhad Musa.

Amesikiliza kwa makini mchakato wakanisa katoliki mpaka uwekwe wakfu kuwa Askofu si lele mama.

Haiwezekani comedian Masanja leo ajiite Askofu au yule muhuni Tito ajiite Nabii, na hakuna dhambi tukihoji watu wa aina ya Gwajima walipitia mchakato upi wa kikanisa kusimikwa huo Uaskofu wao?

Mpaka sasa Askofu wa katoliki aliyelitia aibu kanisa ni Pengo peke yake na ameshastaafu atubu Mungu atamsamehe.
 
Ila yupo sahihi.Huwezi kumlinganisha askofu wa Catholic na hawa sijui Bagonza sijui Shoo.Process ya kusimikwa uaskofu kwa wakatoliki si mchezo! Kuanzia wanavyopanda ngazi kielimu na kiutawala mpaka Papa aidhinishe sio mchakato mrahisi hata kidogo! Sio kwinginepo unakuta Askofu ana mke na mtoto chokoraa [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ahahahaha duuh
 
Ni Kweli siku hizi kuna maaskofu, manabii , mitume wachungaji & the like wa mwendokasi !
 
Halafu mimi huwa nawashangaa sana kukimbilia uaskofu ! [emoji848][emoji848]

Kwani ukibaki kuwa Mchungaji haitoshi hadi uwe askofu ?

Sasa ulizia huyo askofu ana makanisa mangapi ya kuhudumu chini yake?! Utachoka!
 
Siku hizi Eti hadi hadi wanawake wanakuwa maaskofu [emoji1751][emoji87]

Wasomaji wa Biblia hiyo ikoje?

Maana imeandikwa Sifa za askofu awe na mke mmoja haijasema au awe na mume mmoja?!
 
Kasema ukweli watu wanajipa vyeo mara Askofu, nabii, Mtume
Bwana alishatuambia hizi ni dalili za mwisho wengi watakuja kwa jina langu, mbona tulikuwa tunatoa pepo kwa jina lako.
 

Shekhe Anawashwa Washwa huyu
 
Shehe amenena. Wapo wengi kuanzia Gwajima, Mwingira, Mwakesenge, Kakobe, Rwakatare, na majambazi mengine. Hata kwa upande wa waislam wapo akina Mazinge, Ringo, na wengine wengi ambao ni mashehena yaliyojipachika ushehe.
 
We dawa yako tukusomee Albadiri wewe!Shwein!!

TAKBIRRRRRR

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ashaacha kula kitimoto pale mwenge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…