🙆♂️🙅♂️Jamaa alikua anakula wake za watu balaa
Ni mienendo gani alikuwa nayo Sheik?Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza
View attachment 3629032
Uamuzi wa Baraza hilo umetolewa leo tarehe 14/07/2026, mara baada ya kukutana katika Kikao cha dharura chini ya Kaimu Mufti Sheikh Ali Khamis Ngeruko ambae pia ni Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania
Soma: PreGE2025 - Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025
Nafasi yake kwa sasa itakaimiwa na Sheikh Abbas Ramadhani ambae ni mjumbe wa Baraza la Mashekhe Mkoa wa Dar Es salaam.
Duuh alikua anapiga mpaka Sim 2 ?Jamaa alikua anakula wake za watu balaa
Ya kuoa mfululizo au anapiga dawasko?Huyu alipigwa sana , ana tabia kama Manara tu
Kupenda shughuli shughuli , alimkumbatia Giggy money ikiwa ishu sana mitandaoni .Ya kuoa mfululizo au anapiga dawasko?