Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,047
- 13,494
Huwa namkubali sana Huyu Ustaadhi kwa jinsi anavyofanya delivery yake .
Laana ya kubariki mauaji ya oktoba 29Watu kama malaria na the big show huwezi kuwaona kwenye nyuzi kama hizi za kutumbuana kwa Masheikh wao.
bikira latifah si ndiyo huyu ulihangaika na video yake sanaBaraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza
View attachment 3629032
Uamuzi wa Baraza hilo umetolewa leo tarehe 14/07/2026, mara baada ya kukutana katika Kikao cha dharura chini ya Kaimu Mufti Sheikh Ali Khamis Ngeruko ambae pia ni Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania
Soma: PreGE2025 - Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025
Nafasi yake kwa sasa itakaimiwa na Sheikh Abbas Ramadhani ambae ni mjumbe wa Baraza la Mashekhe Mkoa wa Dar Es salaam.
I couldn’t care less. BAKWATA nzima ni club ya mashehe ubwabwa—project ya CCM!Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza
View attachment 3629032
Uamuzi wa Baraza hilo umetolewa leo tarehe 14/07/2026, mara baada ya kukutana katika Kikao cha dharura chini ya Kaimu Mufti Sheikh Ali Khamis Ngeruko ambae pia ni Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania
Soma: PreGE2025 - Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025
Nafasi yake kwa sasa itakaimiwa na Sheikh Abbas Ramadhani ambae ni mjumbe wa Baraza la Mashekhe Mkoa wa Dar Es salaam.
View attachment 3629082
😄Shekhe walid aliwàh kuwa dereva taks namkumbuka sana wakat huo alikuwa anawapakua SANA nadhan jasiri haach asili
Hajatenguliwa kasimamishwa kazi tu, soma taarifa vizuriSheikh Walid Alhad Omar Kawambwa ametenguliwa kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam na nafasi yake imekaimiwa na Sheikh Abbas Ramadhani ambaye ni Mjumbe wa Baraza la Mashekhe Mkoa wa Dar es Salaam.
Uamuzi huo umetangazwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).
MY TAKE
Hata mawe yataongea safari hii.