Sheikh wa Wilaya ya Tanga awaomba waumini kutotumia Sanitizer kabla ya swala maana ina kilevi

Bibi ….ahsante
 
Mm naamini hili janga hata likipita basi huenda yale maombi ya siku tatu ndo yamefanya kazi baada ya huruma ya muumba wetu coz anajua hamna la maana tunalolifanya.. n vurugu mechi kuanzia kwa aliyejuu mpk chini, kila mtu anatamka ajuavyo.
 

Samahani bibi, mfano wa Vilivyoharamishwa ambavyo ni halali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnao mpinga huyo kiongozi wa dini mnakosea huwezi enda nyumba ya mungu na pombe ni sawa umwagikiwe na pombe kwenye kanzu halafu uende msikitini
 
Je wanazitumia kama kinga au starehe? Vitu vingine vinahitaji simple logic tu mbona?

Jr[emoji769]

Dah somo la logic lilipaswa kuingizwa kwenye mtaala wetu wa elimu kuanzia shule za msingi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ufafanuzi mzuri sana.
Bado kidogo nikimbilie kuweka maoni yangu kuuliza kwani uharamu wa pombe ni kuinywa au ikikugusa kama dawa?
Manukato/marashi baadhi zina alcohol, hospital akienda kusafishwa jeraha au kuchomwa sindano anapakwa hiyo alcohol kwenye medical spirit.

Mzee alicho ongea kinasadifu na uvaaji wake wa barakoa, kafunika mdomo na kuacha wazi pua.
 
Spirit nayo je..!?
 
Kusoma elimu dunia kunasaidia sana huyu msamehe bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hizo santataiza wanazinywa??

Halafu kwani hiyo santataiza ni aina ya kilevi au ni dawa??
 
Kwanini iwe haramu wakati wa swala tu?
Kama sheikh anaamini Sanitizer ni pombe(kilevi), kwanini asiseme waislamu wasitumie kabisa Sanitizer wakati wote?
 
Yupo sahihi asilimia zaidi ya 100
.Na hii ni alarm kwa watu wanaoamini vitabu vya dini kuwa huwezi fanya tafsiri tofauti au baadhi ya aya kupitwa na wakati ama kuibuka kitu kipya ambacho kwenye enzi hizo hakikuwepo
.Kila katazo kwenye vitabu lilikuwa na sababu yake na ulevi unaokatazwa kwenye vitabu ni ule mtu anakunywa na kuharibu akili yake na sii huu unaotumika kama dawa. Sheikh uwezo wake wa maandiko una mipaka na alichotafsiri ndicho kilichoandikwa anaogopa kufanya hatching
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…