Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,749
- 7,945
Inaelekea kifimbo cheza hakula daku alfajiri.Ndio madhara ya kuandika huku unapiga nyungu sasa ndo umeandika nini?
Hayiipo
Diyonajisina
Salary
Anaekunwa
Unajipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaelekea kifimbo cheza hakula daku alfajiri.Ndio madhara ya kuandika huku unapiga nyungu sasa ndo umeandika nini?
Hayiipo
Diyonajisina
Salary
Anaekunwa
Unajipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibi ….ahsanteSheikh hayiipo sahihi. Alcohol no "pure" diyonajisina haitengui udhu wala salary labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunwa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Hapo sasa!!!
Sheikh hayiipo sahihi. Alcohol no "pure" diyonajisina haitengui udhu wala salary labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunwa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Je wanazitumia kama kinga au starehe? Vitu vingine vinahitaji simple logic tu mbona?
Jr[emoji769]
Ufafanuzi mzuri sana.Sheikh hayiipo sahihi. Alcohol no "pure" diyonajisina haitengui udhu wala salary labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunwa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Kwani wanakunywa shekhee si wanapaka wewe harufu imekuchanganyaView attachment 1439997
Sheikh Mohamed Kombora amewaasa waumini wa Kiislam wa wilaya ya Tanga kuacha matumizi ya vitakasa mikono (Sanitizer) kabla ya swala maana vina kilevi kwa zaidi ya 60% na kwamba wakitumia watanajisi swala zao.
Chanzo : EATV
Nakala : FaizaFoxy
Hivi pombe kutumika kama dawa nayo ni shida..? Nahisi uelew ndo tatizo... HAWA SI NDO WANAAMBIWA WALE KITIMOTO KAMA HAKUNA NAMNA..!?Naam ni sahihi kabisa.
Spirit nayo je..!?Ufafanuzi mzuri sana.
Bado kido nikimbilie kuweka maoni yangu kuuliza kwani uharamu wa pombe ni kuinywa au ikikugusa kama dawa?
Manukato/marashi baadhi zina alcohol, hospital akienda kusafishwa jeraha au kuchomwa sindano anapakwa hiyo alcohol kwenye medical spirit.
Mzee alicho ongea kinasadifu na uvaaji wake wa barakoa, kafunika mdomo na kuacha wazi pua.
😀😀kbssHivi pombe kutumika kama dawa nayo ni shida..? Nahisi uelew ndo tatizo... HAWA SI NDO WANAAMBIWA WALE KITIMOTO KAMA HAKUNA NAMNA..!?
Ungejibu kwa hoja ungeonekana wa maana sana. Matusi hayana mashiko.Tupe mbinu za jinsi ulivyoweza kusoma, kubobea na kuhitimu ujinga huko shuleni.
Kusoma elimu dunia kunasaidia sana huyu msamehe bureSheikh hayupo sahihi. Alcohol ni "pure" siyo najisi na haitengui udhu wala swala labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunywa sanitizer, unajipa au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
shehe anapenda sana,kuvaa mlegezo.
Kofia kavaa mlegezo
Barakoa mlegezo
...... Nayo itakua,mlegezo