Wengine wana allergy na alcohol kwenye mwili au hawapendi tu kutumia, lakini nchi za Kiarabu zipo perfumes zote, zenye na zisizokuwa na alcohol.Unapotea siku hizi!!!!
Na zile perfume je?
Why nchi za kiarabu na waislam wanatumia non-Alcohol/ Alcohol denant?
Hata wewe tunakupa elimu. Au hujafaidika hapa?Toeni elimu kwa maustadhi wenu na maulamaa!!
Ulisikia wapi Uislam ukaruhusu kulewa?Awazuie basi na kulewa maana nao wanakunywa balaa
Anaelimu gani huyo sheikh?
Namfahamu vizuri huyu mzee, nishekh watanga mjini sahare msikit wa ibnu abas, nikada wa ccm na alikua diwani wasahare majengo mapya kwazaid ya miaka 10 kupitia ccm.
Najiuliza nanialiewapeleka eatv kwa huyo mzee na sijui walitarajia nin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe tunakupa elimu. Au hujafaidika hapa?
Asante kwa uelewa.Sheikh hayupo sahihi. Alcohol ni "pure" siyo najisi na haitengui udhu wala swala labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunywa sanitizer, unajipaka au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Umekariri! tumia tu akili yako, thou common sense is not common to ALL.Unapotea siku hizi!!!!
Na zile perfume je?
Why nchi za kiarabu na waislam wanatumia non-Alcohol/ Alcohol denant?
Tatizo lako nini, au unaishangaa CCM kwa kuwa Chadema hakuna Waislam?
Kwa matazamo wangu naona kama kunawa maji tiririka na sabuni ya maji ni safe kuliko hata kujipaka hizo sanitizer. Binafsi kati ya kunawa na sanitizer naona kunawa kuna usalama Zaidi. Ni mtizamo tu na uwa natumia sanitizer pale ambapo maji na sabuni havipo kama kwenye mikutano n,k
Naona kama upo nje ya mada kabisa.Asante kwa uelewa.
Pia mnapaswa kuwaelimisha pia, kama ni ivo alivyosema, hata hela anazokwenda nazo kuswali huwa zimeshikwa na wapika kitimoto, anahoja gani katika hilo?
Kuna watu wanajifanya watakatifu kuliko hata Mungu mwenyewe.
wapi imeandikwa maana huwa mnasema quran haijaacha kituSheikh hayupo sahihi. Alcohol ni "pure" siyo najisi na haitengui udhu wala swala labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunywa sanitizer, unajipaka au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.
Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Umefunga afu unanitusi!Naona kama upo nje ya mada kabisa.
Hakuna Ayala la kushikwa hapa.
Hapa suala ni "content" ya "alcoholol" iliyopo kwenye sanitizer.
Mbona mnakuwa mapoyoyo hivi? Mada nyingine mnaleta mambo mengine. Majanga.
πππUmefunga afu unanitusi!
Nafikiri wangesema kua ni diwani wa ccm ingependeza zaid,FaizaFoxy pia ni kada wa ccm!
baadhi ya mashehe wanatutia aibu,,Bakwata mnaambiwa kila siku someni dini mnabaki kufanya maulidi na kula ubwabwa tu, ndio haya sasa mnatudhalilisha waislam, ni wapi ulipoambiwa alcohol ni najisi ikiwa katika hali yake ya kawaida? Mtihani sana