Sheikh wa Wilaya ya Tanga awaomba waumini kutotumia Sanitizer kabla ya swala maana ina kilevi

Unapotea siku hizi!!!!
Na zile perfume je?
Why nchi za kiarabu na waislam wanatumia non-Alcohol/ Alcohol denant?
Wengine wana allergy na alcohol kwenye mwili au hawapendi tu kutumia, lakini nchi za Kiarabu zipo perfumes zote, zenye na zisizokuwa na alcohol.
 
Sheikh hayupo sahihi. Alcohol ni "pure" siyo najisi na haitengui udhu wala swala labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunywa sanitizer, unajipaka au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.

Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
Asante kwa uelewa.

Pia mnapaswa kuwaelimisha pia, kama ni ivo alivyosema, hata hela anazokwenda nazo kuswali huwa zimeshikwa na wapika kitimoto, anahoja gani katika hilo?
Kuna watu wanajifanya watakatifu kuliko hata Mungu mwenyewe.
 
Unapotea siku hizi!!!!
Na zile perfume je?
Why nchi za kiarabu na waislam wanatumia non-Alcohol/ Alcohol denant?
Umekariri! tumia tu akili yako, thou common sense is not common to ALL.
 
Kwa matazamo wangu naona kama kunawa maji tiririka na sabuni ya maji ni safe kuliko hata kujipaka hizo sanitizer. Binafsi kati ya kunawa na sanitizer naona kunawa kuna usalama Zaidi. Ni mtizamo tu na uwa natumia sanitizer pale ambapo maji na sabuni havipo kama kwenye mikutano n,k
 
Sio kweli
Kwa matazamo wangu naona kama kunawa maji tiririka na sabuni ya maji ni safe kuliko hata kujipaka hizo sanitizer. Binafsi kati ya kunawa na sanitizer naona kunawa kuna usalama Zaidi. Ni mtizamo tu na uwa natumia sanitizer pale ambapo maji na sabuni havipo kama kwenye mikutano n,k
 
Asante kwa uelewa.

Pia mnapaswa kuwaelimisha pia, kama ni ivo alivyosema, hata hela anazokwenda nazo kuswali huwa zimeshikwa na wapika kitimoto, anahoja gani katika hilo?
Kuna watu wanajifanya watakatifu kuliko hata Mungu mwenyewe.
Naona kama upo nje ya mada kabisa.

Hakuna Ayala la kushikwa hapa.

Hapa suala ni "content" ya "alcoholol" iliyopo kwenye sanitizer.

Mbona mnakuwa mapoyoyo hivi? Mada nyingine mnaleta mambo mengine. Majanga.
 
Sheikh hayupo sahihi. Alcohol ni "pure" siyo najisi na haitengui udhu wala swala labda uwe umeinywa kwa kuelewa kuwa unainywa ili ulewe. Hakuna anaekunywa sanitizer, unajipaka au kujipulizia tu na si kwa sababu ya kulewa.

Huyu ndiyo wale wanaoharamisha ambavyo havijaharamishwa na Allah.
wapi imeandikwa maana huwa mnasema quran haijaacha kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kama upo nje ya mada kabisa.

Hakuna Ayala la kushikwa hapa.

Hapa suala ni "content" ya "alcoholol" iliyopo kwenye sanitizer.

Mbona mnakuwa mapoyoyo hivi? Mada nyingine mnaleta mambo mengine. Majanga.
Umefunga afu unanitusi!
 
Back
Top Bottom