Nimecheka sana mkuuWakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
wakati unacheka hukujamba?Nimecheka sana mkuu
Afu uislamu haujakataza watu kusoma elimu ya kidunia basi tu sijui hii ya waislamu wengine kuona kama elimu ya kidunia haifai zaid ya elimu ya diniWakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
Ukija kwenye Ilmu Akhera hakuna wa kuwafikia.Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
ila kweli waganga/wasoma visomo wote ndo vile.....Matajiri wa kiislamu ni shida na ma shekhe nao pia shida yani huyu analingia elimu ya dini aliyonayo na tajiri wa kiislamu alingia pesa alizonazo basi ni balaa tupu thus y ma shekhe wengi wanajiingiza kwene uganga mara watu wa visomo mara makombe aisee kama huko unguja karibia kila muadhiri ni mganga aisee
sio katoliki tu hata lutheran,anglikana,morovian na wakristo kiujumla hawana muda wa kupigania diniShida waislamu wanaamini adui wao wakubwa kabisa ni hapa duniani ni wakristu hivyo huacha kujiahangaikia wao na kutazamia kuwananga wakristu na kuwasilimisha
Hali ni tofauti kabisa kwa wakristu hasa wakatoliki hawana muda na wengine wao huchapa kazi tu na kujiimarisha kwa kila nyanja na kamwe hawapungui kwa namba, kwa mahitaji, kwa maarifa na kwa ustawi
Wakatoliki ni imara sana Wana mfumo mzuri sana wa kimaisha, na hata hizi jumuiya zao huwa zinawabeba ndugu zao wenye changamoto za kimaisha
Hakuna padre tajiri ila hakuna padre anayekosa hitaji lake lolote la msingi kwa kuwa ni mifumo ndiyo inayoendesha taasisi, kwenye ukatoliki hakuna kubwa kuliko mwenzio na wala hakuna asiye na umuhimu