Sheikh: Waislamu tuko nyuma sana, hakuna Askofu anapanda bodaboda, ukitembea kwa mguu wanasema Sunah

Phd holder za upupu wa teolijia
Sema nyinyi mafwamba mnapelembwa na michango ya kausha damu kama mazombii, mnatoa tu ndio anashibia, mara mwamposa na hoteli ya kitaliii, hapa nani poyoyo
Kaka usidanganywe na unayosimuliwa kwenye vijiwe vya biashara. Theolojia wanasoma na wana Phd za taaluma nyingine nyingi tu hata uchumi pia. Vyuoni kuna Mapadri wengi tu wanafundisha. Umewahi kutembelea kambi za jeshi na seminari? Ukibahatika utathibitisha hiki ninachokuambia.

Kwetu sisi ukiimasta Elimu ya Darasa na ya dini inaenda pia sababu simpo tu tunatumia lugha ya Taifa. Ila kwa upande wenu ni wachache wanaweza kushika vyote na kote akawa bora. Naongelea wa hapa Tanzania. Kule Uarabuni Elimu wameitalia mkazo sana. Ila kama mwenzetu unaamini unaijua dini kupita Wasaudia, Wairan, Wafalme Za Kiarabu basi uko sahihi kusema Maaskofu wana Phd za upupu.
 
Phd holder za upupu wa teolijia
Sema nyinyi mafwamba mnapelembwa na michango ya kausha damu kama mazombii, mnatoa tu ndio anashibia, mara mwamposa na hoteli ya kitaliii, hapa nani poyoyo
Phd ya theology'! Ndo maana huyo sheikh anasema mpo nyuma sio kichumi tu hata kiakili,Sidhan kama kuna padri anachini ya degree mbili za taaluma nyingine ukiachilia mbali theology
 
Nyie huko mnahudumia padre mmoja, huku sheikh anataka aoe wanne, halafu hao wanne wanataka washindane kuzaa ili kumshika mume wao🤣🤣🤣 waumini mumpe sheikh nyumba nne na mahitaji ya hizo nyumba nne na gari kubwa la familia🤣

Kwa kweli waendeleze tu hiyo Sunna ya kutembea kwa mguu kama wanavyoendeleza ya kuoa🤣🤣🤣 hadi waseme.
 
Hiii mada ni chokonozi italeta shida. Haaaahaaaa shehe kaongea ukweli wa moyo wake.

Ila sasa na nyie wenzetu msome tatizo lenu mnakimbia shule asilimia kubwa ya mashehe hawana elimu dunia ya kutosha.

Njoo upande wa wakristo mfano rc unakuta padri ni mwalimu,dactari,mwanasheria.sasa wenzetu kutwa utawakuta misikitini wakitoka hapo ni kwenye vijiwe vya kahawa.

Jitafakarini mtalalamika mpaka mnakufa eti mtu akijua hadithi uchwara za mtume eti nae amekuwa shehe. Halafu anajiingiza kwenye uganga uchwara.nyie kaeni hivyohivyo mtagongewa wake zenu hadi akili ziwakae sawa.
 
unafanya mambo kadri ya mahitaji yako na si kwavile huyu kafanya hivi. Sheikh ana graduate madrasa, Padre anagraduate University, sasa huoni kuna mahitaji tofauti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…