Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yale ya kumlinda Mzee wa Msoger[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana manake si tunaambiwa watu wa usalama huwa na hisia za maono
toka enzi za Nyerere.
Got ya!!Usalama?! Are you kidding?...
Na wanasema wanapenda watu wa dini cuz ni wepesi kupokea machale ya zile hisia sitaKama yale ya kumlinda Mzee wa Msoger[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umesoma hicho kisa chake na Kaijage kilichotokea Mbabane?
Basi Mondi atakuwa mwana usalamaMara nyingi watu wenye influence kubwa kwa jamii kama wachungaji..mashekhe...waganga n.k huwa ni wanausalama....coz wanakuwa na info nyingi sana...