poleni
JF-Expert Member
- Mar 9, 2013
- 237
- 630
Naungana na wewe mkuu babu yangu alishanieleza hili kuhusu huyo Sheik Yahya, maranyingi alipokuwa anakuja huku kwenye shughuli ya kidini, walikuwa wakikutana na babu, lakini yeye babu akawa anatuambia kuwa sheikh ni mtu wa system. Lakini hata huyu babu yetu tulikuwa hatumuelewi vikao vya juu kabisa vya kiserikali na chama alikuwa anashiriki mpaka basi lakini sura yake ya nje mtu wa dini hatari na anafundisha kabisa lkn naamini viongozi wa kidini kwa namna fulani wanatumikaHilo linajulikana wazi
ndo maana alikuwa free kufanya lolote kwenye utawala wa Nyerere...
Historia yake inaanzia kwenye historia ya Mwenge
na historia ya Nyerere Bagamoyo